Kuna baharia mwenzetu anaibiwa hapa

Kuna baharia mwenzetu anaibiwa hapa

Mr Confidential

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,545
Reaction score
2,486
Niko kwenye Abood kuelekea Moro saa hii, siti ya pembeni kuna Dada a naongea na bwana ake ( kwa simu) anamwambia bwana ake kuwa yupo Bagamoyo daaah hahahahaaa.

Ewe baharia kama ulikua unaongea na simu na demu wako, tena topic ilikua inahusisha vyeti, UNAIBIWA

Manzi ni mrefu kiasi, mwembamba rangi yake sijaipata fresh maana kuna taa za blue zimewashwa.

MABAHARIA KUSAIDIANA HAHAHAHA!
View attachment 1621048
 
Ungutupia huko fesibuku au insitaglamu mkuu dah. sawa lakini
 
tukipata kesi za kuchinjana, wewe utakuwa shahidi namba moja, jiandae
 
Umemuharibia baharia mwingine anayemsubiria hapo stendi ya msamvu.
 
Inasikitisha sana...
Huyo itakua kashatumiwa nauli sasa anakwenda kulipa fadhila...



Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom