Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana JamiiForums habari zenu, poleni kwa mihangaiko. Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa wale mnao wajua wasichana kiundani zaidi ( mliobobea zaidi kwenye masuala ya mahusiani) Naombeni trick...
4 Reactions
182 Replies
19K Views
Huwezi kujua kama na yeye anakuwinda au anakupenda mwisho wa siku mume wake anamshika mshika Na mautamu yanazidi mpaka mwanamke anamuuliza mume wake Kama alimtuma umtongoze akujaribu nakwambia...
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Ni hali halisi kuwa kupanga ni kuchagua. anayeoa na asiyeoa ni suala la mizani hiyo lakini ni ukweli usiopingika kuwa faida kubwa ya mwenza ni kwamba haujawai kuwepo mbadala wa mke/mme katika...
18 Reactions
115 Replies
9K Views
Asalam alaykum mabibi na mabwana, poleni kwa majukumu ya kazi za kila siku na kulea watoto. Je, wewe ni mke au mume? Je, umeoa au kuolewa? Ndoa yako bado ina Furaha na amani? Unaishi vile...
10 Reactions
171 Replies
12K Views
Je mwanamke anapoolewa.. Anachofuata Ni Mali za mwanaume yaaani Magari, maghorofa na mfanowe? Je anafuata urafiki, uhusiano, Mapenzi ya dhati, kufanya Mapenzi, Utulivu wa nafsi au Heshima? Je...
25 Reactions
195 Replies
15K Views
Ethiopian Beautiful Women July 5, 2010 In this issue we shall indulge ourselves in the beauty of Ethiopian women. Yes its true, they’re the most beautiful women in Africa and the beauty is...
0 Reactions
91 Replies
38K Views
Shalom wapendwa Tunajua wanawake walio single ni wengi sana hapa TZ kwa sababu mara nyingi wapatapo wa kuwaoa hukimbilia kuchunguza umri wa hao waoaji na wakigundua kuwa ni serengeti boy huwakataa...
3 Reactions
118 Replies
11K Views
Mwanzoni nilikuwa napata tabu sana kukabiliana na wanawake wa mizinga yaani ambao wapo tu sababu yakupiga watu pesa! Sasa mtihani unakuja nataka kupata papuchi kwa demu wa mizinga na yeye anataka...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mume na mke wakiwa kitandani ukimya ukiwa umetawala huku mume akionekana kanuna sana. Mke akawa anawaza. "Kwanini haongei na mimi? Mbona amebadilika ghafla?, Nini kimemkasirisha?, Au ana...
2 Reactions
4 Replies
638 Views
When its comes to true love, age, appearance, money and skin doesn't matter. Love is the matter of feelings not physically attraction or money. To love and be loved back is the greatest feeling...
6 Reactions
20 Replies
5K Views
I believe, mostly African countries do have super gorgeous women. Ethiopia, West Indies, Zimbabwe, Nigeria, South Africa, Rwanda and Botswana among others, have a number of them and most of them...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu polen na majukum hope muwazima ila kwangu Mimi sio poa yaani. Ilikuw mida fulan nimechill zangu getho nachambua timu ili nijilipue(nibet) ,shida ya huu ugonjwa UKiwa unaselect team akili...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari Wana forum, naomba ushauri, ni kijana wa kiume mwenye umri miaka 25 nilikuwa na mpenzi mwenye miaka 21. Baada ya kudumu kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja ikiwa yeye bado anaishi kwa...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Mara nyingi inatokea sisi wanaume tunakataa baadhi ya mimba kutokana na malengo tuliojiwekea kwa mwanamke husika! Mfano unaweza ukawa na demu lkn unaona kabisa huyu hafai kuowa ila mechi za...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari gani wana jamvi Mie kama kijana kuna jambo kwa dada zetu kiukweli linashangaza sana...... Moja kwa moja kwenye mada!!! Katika siku za hivi karibuni kuna kasumba imezuka kwa miongoni mwa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kama kawa kama dawa watu wangu wa nguvu Wakulungwa! Leo niwape kisa changu kilichotokea mwaka jana juu ya hawa wanawake ndo maana wanasema tuishi nao kwa akili Huyu binti tulikua umri sawa mzee...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Hivi kwa nn siku hizi tukienda disco haipigwagi blues? Ukute ulienda peke yako bila mupenzi halafu muda wa blues ufike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaona mtu anazunguka kona...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikuwa naangalia movie ya kinigeria. Basi kuna msichana anafuatiliwa na mwanaume ila huyo dada hataki yule dada alipomwambia ukweli yule kaka akaanza kumdis oh wewe ni shepless sijui ungekubali...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari!! KWA HESHIMA KUBWA NAPENDA KUWEKA MAOMBI YANGU HAPA KWA AJILI YA KUTAFUTA MKE MWENYE MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI NINA NIA YA DHATI NA UKWELI KUTOKA MOYONI NAITAJI MKE WA AINA HII...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Wakuu, Namna gani? Kama kichwa cha habari kinavyosema, je ushawahi kudanganywa umri na mpenzi wako? Basi mimi nimedanganywa. Ilikuwa hivi, siku kadhaa nyuma Serikali ilitangaza zoezi la...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…