Hii ndio namna bora yakukabiliana na mwanamke wa namna hii!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Mwanzoni nilikuwa napata tabu sana kukabiliana na wanawake wa mizinga yaani ambao wapo tu sababu yakupiga watu pesa!

Sasa mtihani unakuja nataka kupata papuchi kwa demu wa mizinga na yeye anataka pesa zangu!sasa hapo unaweza ukatoa kizembe na bado usione ndani!

Ndio nikaja na mfumo dume wa kuweka viungo watano yaani kabla yakuwaza kufunga lazima niwaze kujilinda sana huku nikishambulia kwa kustukiza sana!

Hapo ndio sanaa ya uongo usioumiza inabidi itumike kwa kiwango cha hali ya juu sana!

Mwanamke unayemuona yupo tu ili akutapeli kimapenzi akisema nataka pesa tu usikae kimya wewe mpange tu mwambie baby Jana wakati naenda kutoa pesa Benk kadi yangu bahati mbaya ilimezwa kwa hivyo nipo nashughulikia michakato ya kuipata na hata hivyo naomba uje ghetto unisindikize kwa Jamaa fulani kuna pesa fulani ameniahidi kunipa!

Sasa ukiona anakwepa kwa namna yeyote kuja ghetto na wewe kwepa kwa namna yeyote kumpa pesa!

Ukishindwa kabisa mwambie tu pesa ninayo kiasi kadhaa njoo unipe kipochi manyoya hutaki sawa unataka sawa!

N:B,Mfumo wetu 2021 ni ule ule tunajilinda na kushambulia
 
Mimi nikimwita mwanamke out kama hanitaki hana mpango wa kunipa, hata hawezi kuja.
Kwa Mwanaume jasiri, mwanamke anatoa wapi usajiri wa kuja kula vitu vyako kisha akimbie?

Siku nikikutana nae wa hivo nitamuuliza wewe huogopi hata?
Ukila lazima uliwe.
 
Mimi nikimwita mwanamke out kama hanitaki hana mpango wa kunipa, hata hawezi kuja.
Kwa Mwanaume jasiri, mwanamke anatoa wapi usajiri wa kuja kula vitu vyako kisha akimbie?

Siku nikikutana nae wa hivo nitamuuliza wewe huogopi hata?
Ukila lazima uliwe.

 
Back
Top Bottom