Nimemtumia SMS Mama Mkwe kimakosa

kingkongtz

JF-Expert Member
Dec 28, 2019
1,023
3,458
Wakuu polen na majukum hope muwazima ila kwangu Mimi sio poa yaani.

Ilikuw mida fulan nimechill zangu getho nachambua timu ili nijilipue(nibet) ,shida ya huu ugonjwa UKiwa unaselect team akili yote inasizi kidogo unakuwa umeconcetrate kwen mkeka.

Nikiwa naendelea na uchambuzi nliona nimtext bintimlokole "hellow" .hakujib kwa wakati nikampitezea nikaendelea kulipa Kodi.

Baada ya dakika 2 hivi ikaingia sms ya mamamkwe maana aliniomba nimwazime kias fulan cha pesa aendeleze biashara yake.
sasa ujinga nilioufanya niliziacha zile text mbili UNREAD nikaendelea kuchambua team huku mkeka wa awal ukiendelea vizuri tuu,

Sasa yule bintimlokole akareply "yes baby". Nikakurupuka kujibia kwenye notification bar, nikajibu "Leo uje Nina ugwadu hatari alafu unaniboa kitandan ulala tuu kama generator unasubil kuwashwa" nikabonyeza kitufe ikaenda. Nikarud sasa kweye messages ili nimjibu mamamkwe sijaamin nilichokiona

Sasa hivi wote wapo kimya, nimempigia mamamkwe hapokei simu, nampigia bintimlokole simu bize kila wakati.
 
Hapo unatakiwa uvunge like nothing happened!
Kama busara zipo litapita kimyakimya
 
Hii ni taarifa au unaomba ushauri? Enewei we ngoja tu, leo utapigiwa sala wew hutoamini.
 
Mtumie ingine ukitaka maelezo ya kina yasiyopungua maneno 1000, yaani akueleze hiyo meseji ina maana gani sababu na wewe umeikuta kwa simu ya binti yake.
 
Mama mkwe wako alikuazima Kama kiasi gani,Ili ujue pakuanzia kuomba msamaha
 
Back
Top Bottom