Usitongoze mke wa mtu serious mtongoze kiutani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,515
44,566
Huwezi kujua kama na yeye anakuwinda au anakupenda mwisho wa siku mume wake anamshika mshika Na mautamu yanazidi mpaka mwanamke anamuuliza mume wake Kama alimtuma umtongoze akujaribu nakwambia utajuta.unapomtongoza mfanyie kimasihara kiasi kwamba hata akikuchomolea ajue ulikuwa Unamtania.

Mke wa mtu sumu Na hasa mke watajiri
 
utakapokatwa na panga kwa kufumaniwa na mali ya mtu mwengine uje hapa pia kutuletea mrejesho na simulizi ulivyobambwa
 
Wake za watu wanatongoza wenyewe....wewe kuwa wa salam tu kisha usiwe mtoto mtoto ajue tu kile anacho kitafuta kipo kwako basi hutumii nguvu yeye mwenyewe ndio atafanya kila kitu . Alafu nikuambie tu wanawake wa sikuizi wanatongoza ukiona unatumia nguvu kutongoza we jua tu wewe unadosari

Wanawake wa saizi wapo busy sana na kusaka wanaume wenyewe na wakiona hufunguki lazima atakufungukia ila atafanya hivyo kama kile anacho kitafuta amehisi unacho. This from experience wanawake wa sikuizi hawatongozwi wana tongoza
 
Unahamu ya kumla mtu alafu umtongoze kiutani,kimasihara?

Ushauri:-tuwakazie kweli kweli ili wajue tupo serious
 
Wake za watu wanatongoza wenyewe....wewe kuwa wa salam tu kisha usiwe mtoto mtoto ajue tu kile anacho kitafuta kipo kwako basi hutumii nguvu yeye mwenyewe ndio atafanya kila kitu . Alafu nikuambie tu wanawake wa sikuizi wanatongoza ukiona unatumia nguvu kutongoza we jua tu wewe unadosari

Wanawake wa saizi wapo busy sana na kusaka wanaume wenyewe na wakiona hufunguki lazima atakufungukia ila atafanya hivyo kama kile anacho kitafuta amehisi unacho. This from experience wanawake wa sikuizi hawatongozwi wana tongoza
Kweli kabsaaa
 
Back
Top Bottom