Alileta kunipanda kichwani nikamfyekelea mbali

Alileta kunipanda kichwani nikamfyekelea mbali

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,769
Kama kawa kama dawa watu wangu wa nguvu

Wakulungwa!

Leo niwape kisa changu kilichotokea mwaka jana juu ya hawa wanawake ndo maana wanasema tuishi nao kwa akili

Huyu binti tulikua umri sawa mzee nikatupia ndoano mtoto akanasa basi tukaenda we siku hadi siku maana tulikua mikoa tofauti akawa anaonyesha kunivumilia siku zikaenda nikaja kuhamia mkoa aliyokuwepo

Kwa mara ya kwanza nikala tunda alisema toka azaliwe ashawahi kufanya mara mbili tu ebwana baana ya kusumbuana we nikala mzigo teeh mtoto ashatumika ile mbaya nikaona isiwe soo nikaspend naye usiku kucha hadi asubuhi

Kutoka hapo tukawa tunawasiliana akaja akaenda dar kwa mama yake akakaa kama mwezi hivi baadae akarudi mkoani nikaendeleleza makamuzi na yeye

Sasa nilikua namuonyesha namjali sana na basi akajua nampenda ile kufa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akaanza kuringa, utamtumia meseji asubuhi atajibu usiku utamtumia meseji ataropoka ropoka we

Mwisho wa siku tukashindwana akaanza kusema tuachane mimi nikamwambia kama umeamua fresh tu maana tayar mzee nilikua nishamchoka na vituko vyake

Hahahah yeye alijua nampenda alijidanganya sana zikapita siku miezi kama minne hv nikaopoa mtoto mtamu na nzuri mara milioni ya yule maana huyo demu wa mwanzo alikua na sura ya mbuzi mbaya kakomaa ile mbaya sasa mimi mwenyewe hb nikapata mtoto quality viwango vya tbs

Huyo demu mpya tuliendana kinyama halaf fundi balaa kuliko hata huyo mchaga wa mwanzo[emoji23] alivyosikia nimeopoa mtoto nzuri akaanza kujipendekeza na kujirudi mara sababu kibao

Usumbufu wake haukuisha nikaona isiwe kesi nikamdanganya kwamba nimemsamehe na tumerudiana basi tukutane tukameet mahali tukaagiza tukala tukanywa na kulikua na garden kubwa wawili tu akaanza kuongea ongea kwa kile kiburi chake maana alijua ashanipata nilichomjibu sasa "Sikiliza glory (sio jina lake halisi) tatizo hiyo yako ishakua kama chuma chakavu nimepata mtoto og na sio hilo pango hivyo nikaushie si ushashiba hapa?" Hakuamini maneno yangu

Akapandwa na hasira akaniuliza ni kwanini nimemwambia hayo yote?sikuongea nikaondoka zangu njian nikamtext nikaanza kumkosoa muhimu nimkere tu "kwanza ushatumika sana halaf wewe hata sio nzuri hata umezeeka kinoma glor una sura ngumu niliyempata tunaendana sana hahaha"nilimtext hizi msg nikaambatisha na emoj za dharau.

Akajibu kinyonge "sawa tu" na kuanzia hiyo siku hajawahi kunitafuta tena
Na hii ndo ilikua dawa yake maana alikua anaringa sana na kujiona kumbe hana hata sura
 
kiuhalisia bado wampenda na huna mpz ila unatamani umpate mzuri zaidi ya huyu endelea kupigana mkuu utampata
Nilikua sijamalizia mkuu soma yote vizuri
 
"nikaopoa mtoto mtamu na nzuri mara milioni "

Matozi wa JF hao kila mara wanaopoa watoto wazuri na watamu,,,,

Turudi kwenye uzi sasa boss unataka tukushauri,unatuambia tu au umeleta malalamiko?
 
Yaaani ulipo haribu kujiona na wew Ni mrembo aiseee yaan mwanmke umemzid uzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaaani ulipo haribu kujiona na wew Ni mrembo aiseee yaan mwanmke umemzid uzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilikua sijamalizia mkuu soma yote vizuri
hata uje na part II ukwel unabaki demu kakuacha na ww watamani upate demu mkali zaidi yake na umlingishie

maisha sio rahisi ivo, tafuta hela utaamua utakacho na sio kuacha maisha yaje kama ndoto.
 
Back
Top Bottom