Hivi kwanini siku hizi disco hawapigi blues?

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,377
4,645
Hivi kwa nn siku hizi tukienda disco haipigwagi blues?
Ukute ulienda peke yako bila mupenzi halafu muda wa blues ufike utaona mtu anazunguka kona zote, utasema midfield kishet, anahaha kuangalia msichana gani yuko pekee, mwisho anatoka nje kwenye kibanda cha kukatia ticket kama kuna anayeingia alone umuwahi.
.
Maana ukimpata muda wa blues hakuna kuongea tena, ndio ushakuwa mmiliki. Kukumbatiana kucheza ilikuwa kitu cha thamani sana....yaani full midenda...kupapasa kama kote unaenda mpaka kusikoendeka lol nimekumbuka sana zamani
.
Nipe hadithi yako;

︎Ulikuwa unamuanzaje mdada ambaye hukuja nae ili mcheze blues? Maana unaweza kuja nae na akasema anaona aibu au hajawahi au anaogopa au hawezagi........

︎Wimbo gani ulikuwa unakubamba sana ktk mbambiano?

︎Huko kwenu lipi lilikuwa disco kali?
︎Unaweza kumbuka viwalo vilivyosha miaka hiyo
︎Tuongee, tukumbuke

*(Nimeitoa sehemu nimecopy kama ilivyo credit kwa Bananga)
.
binamubananga-20201114-0001.jpeg
 
Attachments

  • binamubananga-20201114-0001~2.jpeg
    binamubananga-20201114-0001~2.jpeg
    54.3 KB · Views: 1
Hivi kwa nn siku hizi tukienda disco haipigwagi blues?
Ukute ulienda peke yako bila mupenzi halafu muda wa blues ufike utaona mtu anazunguka kona zote, utasema midfield kishet, anahaha kuangalia msichana gani yuko pekee, mwisho anatoka nje kwenye kibanda cha kukatia ticket kama kuna anayeingia alone umuwahi.
.
Maana ukimpata muda wa blues hakuna kuongea tena, ndio ushakuwa mmiliki. Kukumbatiana kucheza ilikuwa kitu cha thamani sana....yaani full midenda...kupapasa kama kote unaenda mpaka kusikoendeka lol nimekumbuka sana zamani
.
Nipe hadithi yako;

︎Ulikuwa unamuanzaje mdada ambaye hukuja nae ili mcheze blues? Maana unaweza kuja nae na akasema anaona aibu au hajawahi au anaogopa au hawezagi........

︎Wimbo gani ulikuwa unakubamba sana ktk mbambiano?

︎Huko kwenu lipi lilikuwa disco kali?
︎Unaweza kumbuka viwalo vilivyosha miaka hiyo
︎Tuongee, tukumbuke

*(Nimeitoa sehemu nimecopy kama ilivyo credit kwa Bananga)
.View attachment 1626307
Nimependezwa sana na jamaa alivyolimiliki tako la huyo dada
 
Obsoleted
 
Disco toto kupigwa marufuku ndio sababu siku hizi kumbi za disco zimekosa mvuto na huo ubunifu

kumbuka kila kitu utengenezwa kuanzia chini hii miaka zaidi ya kumi tangu wale watoto wafie disco uko tabora na serikali kupiga marufuku disco toto hapi ndio kunefanya kuibuke kundi kubwa la vijana walevi na si wapenda burudani hivyo dj wa disco ubunifu ushawatoka tena maana wanakutana na walevi ambao lengo lao si mziki ni kulewa wala si kupata pisi kali

Leo hii watoto au vijana kuanzia darasa la tano mpaka kidato cha nne umri wao bado ni mdogo hawa ndio ambao wana mda mwingi wa kusikiliA music kukalili kujifunza kuchenza nk so hili kundi ndio lilijaza club enzi hizo na ndio lilipelekea dj kupiga bluzi

Maana shule zikifungwa mabinti na vijana wa kidato cha nne walimiminika disco toto walicheza hawa vijana walipofika form six waliacha disco toto wakaanza kuruka ukuta kwenda disco la wakubwa ndio hawa hawa walioenda vyuo vikuu wajaishia pamba club za mziki

Leo hii kijana anaenda chuo kikuu anarudi hata club ajui, kucheza mziki ajui zamani kijana au me au ke akifika chuo kikuu zile washa washa na msukumo wa makundi rika club ataenda tu na mziki atajua kucheza tu yani kama katokea vijijini basi ile semister ya kwanza akirudi likizo mnaona kabisa kaka dada kabadilika kawa wa mjini mjini

siku hizi hakuna vijana wanatoka maporini na ushamba wao wanarudi maporini na ushamba wao zaidi wanarudu na smart phone na account za insta, twitter, face book nk hizo ndio ujana wao
 
Pumbafuuu ukimwi wooote huuu! Unawaza chini tu!
Na sasa covid19?

Disco watu wanawaza, covid. ukimwi tuuuu! Maukurutuuu! Homaaaa
Dozi nene isiyoishaaa! Mavidongeeee wewe unalets hbri gani hizo?

Siku hizi ke akikukubalia tu roho pwaa! inakuuma mama weee! Itakuwaje mtoto kanikubali! Nitapona kweli?
Akilegea tu ukaponyoka hutarudi tena maeneo hayo milele!
Na kama ukifanya tu kdgo utajilaum milele!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom