Ernst kipire
JF-Expert Member
- Dec 16, 2019
- 299
- 311
Habari gani wana jamvi
Mie kama kijana kuna jambo kwa dada zetu kiukweli linashangaza sana......
Moja kwa moja kwenye mada!!!
Katika siku za hivi karibuni kuna kasumba imezuka kwa miongoni mwa dada zetu wengi na nahisi linaanza kuwa changamoto kwa upande wangu.
Leo dad zetu suala la kutaja umri limekuwa kipengele yani , ukimuuliza tu umri unaona kabisa anafadhaika na hata tabasamu linampotea,tatizo lipo wapi?.
Dad zangu mnachohofia nini kwani,kama wewe ni mkubwa sema tu siyo unaogopa ogopa,kama jamaa kakuelewa miaka siyo ishu.
Naomba kuwasilisha.