Mabaharia inakuwaje naona mbali sana kwenyee hizi harakati za kuchakatana na uzi ndio kama ufuatao ....
On point... Vitambi ni changamoto sana kwenye sita kwa sita wanawake hawapendi sana wanaume...
1 Ulimi Wake
2 Na Mikono Yake
3 Na Miguu Yake
4 Na Macho Yake
[emoji257] MAANA YAKE
1 ULIMI WAKE UWE MFUPI
Maana Yake Asiwe Muongeaji Sana Na Kubwabwaja Maneno Ovyo Ovyo Kutoongea Sana Ni...
Kwa msaada wa wengine TUJIFUNZE Upo na Ex/mchumba wako labda mmejuana ndan ya Masaa/Siku kadhaa au Miezi/Miaka tuseme ndo BIDADA hajajiongeza sasa unajiongeza wewe Em taja njia ambayo unatumia...
Siku moja katika matembezi jioni nikiwa na mpenzi wangu,
Ikatokea tukatekenyana tekenyana zikapanda! Ilikuwa mida ya saa mojamoja tukasogea kwenye nyumba moja iliyokuwa katika hatua ya ujenzi wa...
Mambo yenyewe ni hivi,
Nimekua nikizozana na mchuchu mara kwa mara eti anataka niwe namhudumia kidume nimegoma.
Nimeushikiria msimamo kwamba atahudumiwa mpaka nitakapomuoa. Nimemwambia wazazi...
Wadau wa humu JF habari za harakati na mapigo ya ada za January hii
Niende kwenye topic moja kwa moja... nilizaa na mke wa mtu tena wa rafiki yangu kwa siri na kwa makubaliano kwamba akifikia...
Habari wanandugu,
Kuna dini zinazotoa ruhusa mume kuoa mke zaidi ya mmoja, kama uislamu unavyoruhusu hadi wake wanne.
Je, mume huyu akitaka kuburudika na wake zake wote kwa wakati mmoja...
Najua kuna watu wameanza kupanick. Simaanishi dirisha ulilowaza wewe, nina maanisha muda maalumu ambao Mwenyezi mungu amewatengea ili kuhakikisha mnapata Mwanaume.
Mwanamke yuko kidogo na...
Wanaume wengi wamejikuta wameoa wanawake ambao sio size yao. Wengine wakahisi kuachana ndio suluhisho. Ok, kwakuwa hili si tangazo twende kwenye points.
1. Mpigie kwa namba ngeni, kama akianza...
Aisee! Wakati mwingine katika mahusiano kuna vibwanga vingi hasa pale wanawake wanapotofautiana tabia na mienendo ila wakati mwingine wanaume huwa tunaangalia ni wanawake gani wa kudate nao.
Kwa...
Anyway hawa viumbe(ke) sijui mpewe nini ili mjue mnapendwa damn it.
Mtu unampa muda, respect, love unatimiza mahitaji mwisho wa siku anakula kichwa ani ghafla tu aisee nimekumbuka humu ndani kuwa...
Kijana mmoja alitaka kumuoa mke wake ila alipingwa vikali na ndg wa familia wakisema kwamba huyo si mke wa kuoa, lakini mwanaume yule alisimamia misimamo wake ule ule na kusema kwamba" Mungu...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya ndoa na mapenzi, watu wengi wanadhani kwamba kumpenda mtu ama wote wawili kupendana kunatosha kabisa kuingia katika ndoa la hasha.
Mapenzi ni hisia za ndani kabisa...
Achana naye.. Unalala, haupati usingizi juu ya mtu ambae huenda amelala na mtu mwingine muda huu kwa amani tele.
Achana naye.
Unaangalia simu yako sasa hivi ukisubiri text ya mtu ambae unamuona...
Wapenzi wawili walipendana sana tangu wakiwa shuleni na waliahidiana siku moja waje kuoana na kujenga familia
Baada ya kuhitimu masomo yao kijana alipata nafasi ya kwenda kusoma nje ya nchi.
Kabla...
Habari wakuu, tusichoshane niende moja kwa moja kwenye hii kitu iliyoniacha kinywa wazi kiasi kwamba kama ni Corona basi ingepita bila kipingamizi!
Nilifika geita kutoka Dar katika harakati za...
Amenikimbia, hapokei simu tena, hanipigii, hajibu sms, anadai yuko busy kila saa, haji tena, hana time na mimi;Haya maneno yamekuwa yakijitokeza repeatedely humu.
Huwa siandikagi kwenye jukwaa...
I remember pindi nilivyokuwa mdogo nilikuwa napenda sana kushika hili gobole langu huku nikilivutavuta basi baadhi ya wakina mama wa marafiki zangu enzi hizo wananikataza nilikuwa nalia but my mom...