Habari wazee salam kwenu ziwafikie popote mlipo,
Kwakweli habari yangu hii ya leo bwana nimeboreka harafu nimekasirika, nimepata mgeni Nyumbani kutoka kutoka pande tofauti za Tanzania (sio mpaka...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu JamiiForums.
Mimi mdogo wenu wa mwisho (last born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu watanzania;
Huku...
Kichwa cha habari kinajitosheleza nimeona washkaji kibao wanakesha na ukwadu kisa tu ni madomo zege! Mwanaume ukiwa mtu wa kujiamini sana hata kama huna muonekano unaweza kuchukua pisi kali tu
We mzee mwenye nyumba umekalia pombe na nyama choma wengine mipira ya Premier league ukirudi upo bize na laptop unajidai upo bize.
Hata ukipewa game full kulalamika eti umechoka, kimoja hoi...
Habari za sahivi wakuu natumaini ni wazima niende moja kwa moja kwenye mada
Unajua maisha yana mambo mengi ambayo tunayafanya Mara nyingi bila kujua matokeo yake yatakuaje
Nakumbuka...
Dhambi ni ya kuiogopa sana, usiseme yule ni mke wa mtu ngoja nikazini naye leo tu basi, hakutakuwa na shida yoyote, usijaribu kufanya hivyo ndugu, usiseme ngoja niibe kile kidogo kwenye kampuni...
Hebu tubeane mawazo, ila kwa upande wangu naona hizi Ndo sababu kubwa
1. Kutojaliwa
2. Upumbavu Wa mtu( mwanaume)
3. Utundu Wa kutaka kujaribu mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachotakiwa kufanya ni kutaja jina lolote lile la movie uliyoiona ambayo unaona kabisa wameigiza mahusiano yenu, wala usielezee kama kuna mtu anataka kujua kwa undani basi akaitafute iyo movie...
Baadhi ya wanaume tumekuwa malimbukeni wa kuogopa kuwaoa single mother.
Sijajua tatizo ni mtu kuogopa majukumu ya kulea mtoto uliyemkuta na mwanamke ama ni nini.!!.
Kama ni mtu kujiaminisha kuwa...
Kuna salon ya kiume nilikuwa nimezoea sana kwenda..iko very simple
Au tuseme kizamani..haina wadada
Hakuna kuosha nywele..
Muda mwingi wakati unanyoa mnapiga story za mpira na siasa...halafu...
Mmeenda kwenu kijijini, eti mkeo hakwenda kuteka maji (kwa taarifa ulizopewa na dada zako)
Hizo nguvu za kumpiga na kumuumiza mke wako kwa maneno ya kusikia unazipata wapi?
Hebu tulijadili kwa...
Rejea tena kichwa cha bandiko!
Kuna couple hapa imenifanya niwaze hili, kwa jicho langu ni kama wanafurahia sana muda wao pamoja.
Nami nikatamani nikiwa mkubwa nimiliki mali ambayo nitafurahia...
Dating and marriage crossing ethnic, racial, and cultural lines have become increasingly common in the world.
According to Social and Demographic Trends the overall increases in intermarriage...
Habari wapendwa.
Kuna jambo naomba mtazamo wenu maana naona linaleta mkanganyiko mahali.
Ikiwa wewe ni mwanaume na umezaa na mwanamke lakini hamkufikia lengo la ndoa. Hivyo mkaamua mumlee mtoto...
Story yeyote inayoletwa na mdada humu jukwaani utakuta anaelezea mazingira ya maisha safi, anakula hotelini, anatembelea beach fulani hivi amazing.
Kila mdada humu msomi hajawahi kuachwa na...
Habarin wadau
Leo nimeamua kushare nanyi hii mada ni kwel ckatai pesa ndio kila kitu kwa maisha ya sasa lkn km mwanamke hakupendi jua hakupend tu na hata ukibahatika kuwa nae Takumegea tu ilo...
Poleni na majukumu wana JF
Mwanamke aliolewa Mwaka juzi ndoa ya Kanisani, hawajawahi kupata mtoto, kutokana na kuishi mikoa tofauti kwa sababu ya mazingira ya kazi Mwanamke alipata Mimba nje ya...
Wakuu njooni tupeane uzoefu maana mapenzi ni kama penati hazina mwenyewe.
Nimeshapitia breakup nyingi tu ila mara nyingi baada ya mwezi mmoja narudi normal.
Sasa hii ya sasa ndio kiboko...