Napenda viporo lakini sio vilivyochacha

Napenda viporo lakini sio vilivyochacha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,453
Reaction score
872,049
Hii ni mada ya kukumbushana mambo kadhaa....!!!
Wote tunafahamu kiporo... Kwa jina lingine ndasa... Kiporo ni chakula kilichobakishwa baada ya kuliwa... Mara nyingi usiku.. Kiporo kina ladha yake na utamu wake lakini Kamwe huwezi kukilinganisha na chakula fresh...
Kiporo kina hatari zake... Kisipohifadhiwa vizuri huchacha ama huharibika... Kuna madhara ya kula kiporo cha namna hii.. Ni sawa na bata anapenda sana maji lakini sio ya moto. Yana madhara yake haya... Yanaunguza....

JamiiForums inachukuliwa ya kipekee kutokana na slogan yake... A home of great thinkers... Kwahiyo wengi huzuzuka na kudhani kwamba walioko JF ni watu very distinguished. Wasioonekana wala kupatikana mitaani... Hili limechagizwa na uhuru wa kutumia utambulisho bandia...

Nimebahatika kukutana na wana JF wengi sana... Kama mia moja na ushee... Japo wao walinishangaa ( baadhi yao ) lakini mimi sikuwa na taharuki kivile... Wana JF ni SEHEMU ya JAMII inayotuzunguka.. Ni kaka zetu, baba zetu wadogo zetu dada zetu mama zetu marafiki na wafanyakazi wenzetu bila kusahau mababu mabibi na wapenzi pia

Kutongoza na kutongozwa ni jambo la kawaida na watu ni wale wale... Wana JF hawana tofauti hawatoki mwezini.. Ni watu wa kawaida kabisa... Wenye hisia na mapungufu kama wengine mtaani... Wenye mazuri na mabaya wenye upendo huruma lakini pia wenye roho mbaya na tabia mbaya pia....

Kutongozana ni kule kule.. Kulana ni kule kule.. Tabia ni zile zile.. Kama umeuvaa mkenge ni ajali kazini... JF sio ya waseja wala malaika wala mabikira.. Wote tunapashana viporo... Sidhani kama tuna fresh... Ooh zipo fresh... Zipo baadhi.... Kwahiyo kama ukila kilichochacha usitafute mengine.... Huwezi kufuga nge utegemeee atotoe njiwa...

Kwenda peku hakumaanishi umeambukizwa.. Umeambukiza
Kwenda peku haimaanishi uje utangaze hapa
Tuna watoto bado hapa huwa wanajivunia kuwalala wanawake kadhaa... Ni ushamba na ulimbukeni...!!! NGONO NIA SANAA... NGONO sio kuvua chupi na kukojoa tuu.

Napenda viporo lakini sio vilivyochacha... Hata kama nimekula Zhong Tong kumi.. Hiyo ni siri yangu na wahusika... SIPO KWENYE LIGI KWAMBA NITAPATA KOMBE... Nafanya kwa raha zangu.... Wala sifanyi kukomoa au kuonesha urijali wangu...!!!
 
The hunger of Vaginas will lead you to death by HIV n AIDs..
Stay safe.. Maisha ni Afya bora.
Unapofanya uhuni umkumbuke mama yako na umuonee huruma maana ukishaupata utaenda kwake kumsumbua.. kukusafisha na kukulisha.
Will live once.. we die many times
 
Mother Confessor mpenda viporo, vingine hivi huku njoo
Huu mji mzito hatari...
tapatalk_1568759201558.jpeg
 
Mshana Jr,SO WHAT'S THE DEAL THERE????.


Kula mademu lukuki wee lkn ukawa kimya...... Ya kwamba hapa ndipo unaonekana SMART ,MWANAUME MWEREVU NA MJANJA ??????.


UJINGA NI UJINGA TU, UMALAYA NI UMALAYA TU, UGONGE KIMYA KIMYA...UGONGE URUDI NA MATANGAZO... UHUNI NI UHUNI TUU!!!.




Hata hao "Zaidi ya Mia" ulikutana nao 98% ni Mademu na inawezekana kabisa kabisa kua ktk hao 98‰ , 95% yao umewagonga.


Sasa hapa ,NINAKUPONGEZA MZEE BABA, kwakua unaonyesha urijali wako kama mwanaume, in fact hata kama nimimi ningewatafun






FAIDA YA KUGONGA MADEMU WENGI NIN???

1--UMASIKINI.
2--MARADHI .
3-- 1& 2 NIKWELI.
 
Carlos The Jackal, Hata hao "Zaidi ya Mia" ulikutana nao 98% ni Mademu na inawezekana kabisa kabisa kua ktk hao 98‰ , 95% yao umewagonga.

Sasa hapa ,NINAKUPONGEZA MZEE BABA, kwakua unaonyesha urijali wako kama mwanaume, in fact hata kama nimimi ningewatafuna. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Sasa imagine unapata Ngoma unamiaka 30 ......ongeza 20 === 50..
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji124][emoji124][emoji124]
Na niwambie tu, ARVs ... Zikijitahidi sana kukuongezea maisha ni miaka 20 tu baada ya hapo utaishi lkn Figo ,Maini, Utumbo, Mapafu, Ngozi vikiwa vimeathirika kwa kiwango cha kukufanya uzime .

Sasa imagine unapata Ngoma unamiaka 30 ......ongeza 20 === 50..

Kibongobongo, miaka 50 ndio sasa unaanza kufurahia maisha yako , alafu et ndo unazima !!
 
Watu wengi bado hawajaweza tofautisha maisha ya mtandaoni na haya halisi nyuma ya keyboard...

Ukipata rafiki wa kawaida au mwenzi hapa, uhusiano wenu ukihamia upande wa pili acha ubaki huko huko upande wa pili...

Hiyo ndio hekima na busara, ndio namna ya kuwa mwanadamu mwenye utimilifu wa afya ya akili...
 
Back
Top Bottom