Fikra juu ya fikra na mpango juu ya mpango

Fikra juu ya fikra na mpango juu ya mpango

Ackhery

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2021
Posts
293
Reaction score
299
Habari ndugu mwana JF, kuna mambo ambayo inatakiwa kuyafahamu katika maisha

Unapofikiri kwenda kufanya mapenzi na mtu asiye mke wako wakati huo unamke, jua ya kwamba yupo mwingine ambaye anafikiria kwenda kushusha voko kwa mke wako ili wakafanye matombano

Unapofikilia kwenda baa au guesthouse yuko mwingine anapanga mpango Wa kuingia kwako kwaajili ya kwenda kufanya kama mnachotaka kwenda kufanya huko baa au guesthouse

Unapotaka kufanya baya juu ya mke au mume Wa jirani/rafiki/ndugu yako jua ya kwamba lipo lililo kusudiwa juu ya familia yako. Unapopanga kumharibia mwenzio maisha yake jua ya kwamba yuko mwingine anataka kufanya zaidi ya hicho unachotaka kumfanyia mwenzio

Hivyo basi tulia katika ndoa/familia/mahusiano yako kusudi mambo yaende shwali na kama kuachana ni bora kuachana kwa Amani
 
𝕄𝕂𝕌𝕌 𝕂𝕆𝕆 𝕌ℕ𝔸𝕄𝔸𝔸ℕ𝕀𝕊ℍ𝔸 𝕋𝕌𝔸ℂℍ𝔼 𝕂𝕌𝕃𝔸 𝕂𝕀𝕄𝔸𝕊𝕀ℍ𝔸ℝ𝔸 [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

𝔸𝕟𝕪𝕨𝕒𝕪 ...𝕨𝕒𝕜𝕖 𝕫𝕒 𝕨𝕒𝕥𝕦 𝕟𝕚 𝕨𝕒𝕥𝕒𝕞𝕦𝕦𝕦
 
𝕄𝕂𝕌𝕌 𝕂𝕆𝕆 𝕌ℕ𝔸𝕄𝔸𝔸ℕ𝕀𝕊ℍ𝔸 𝕋𝕌𝔸ℂℍ𝔼 𝕂𝕌𝕃𝔸 𝕂𝕀𝕄𝔸𝕊𝕀ℍ𝔸ℝ𝔸 [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

𝔸𝕟𝕪𝕨𝕒𝕪 ...𝕨𝕒𝕜𝕖 𝕫𝕒 𝕨𝕒𝕥𝕦 𝕟𝕚 𝕨𝕒𝕥𝕒𝕞𝕦𝕦𝕦
🤔
 
𝕄𝕂𝕌𝕌 𝕂𝕆𝕆 𝕌ℕ𝔸𝕄𝔸𝔸ℕ𝕀𝕊ℍ𝔸 𝕋𝕌𝔸ℂℍ𝔼 𝕂𝕌𝕃𝔸 𝕂𝕀𝕄𝔸𝕊𝕀ℍ𝔸ℝ𝔸 [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

𝔸𝕟𝕪𝕨𝕒𝕪 ...𝕨𝕒𝕜𝕖 𝕫𝕒 𝕨𝕒𝕥𝕦 𝕟𝕚 𝕨𝕒𝕥𝕒𝕞𝕦𝕦𝕦
[emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom