Ukweli mchungu: Wanawake wengi kwenye mahusiano ya kimapenzi, hawana tofauti na wadada wanaojiuza barabarani

AlphaMale

JF-Expert Member
Oct 26, 2019
613
1,401
Kadri siku zinavyokwenda, inazidi kuwa ngumu kutofautisha kati ya wale machangudoa wanaojiuza barabarani na hawa wadada wa kawaida wa mtaani.

Kwasababu kama wewe mdada una-date na mwanaume usievutiwa nae kimapenzi/kingono, ili akupe hela, ukweli ni kuwa unajiuza, sema tu hausimami barabarani, kama wale wa corner bar.

Enyi wadada, kama unauza papuchi sema dau mapema, wewe utapata hela, mimi nitapata papuchi, wote tutakuwa happy, mizinga isio na maana inapoteza muda..

Nisitafsiriwe vibaya, sipingi wadada kupewa pesa na boyfriends wao, bcoz kusaidiana kipesa kwenye mahusiano ni muhimu, ila kama haujavutiwa kimapenzi/kingono na mwanaume, na uko nae ili tu upewe hela, bhasi my sister you are a prostitute/unajiuza..
 
Hii inakuja baada ya kugundua kuwa mamen hawawapendi dadas hata kidogo bali hutaka kuwatumia kwa ashiki zao binafsi na kuwabwaga hukoo
Na kila siku mnajinadi humu namna hiyo!na mkumbuke to every action there is a reaction, wadada wanaona wanayotendewa daily.

Kwangu mimi haya ni mapinduzi ya kimahusiano, relationship revolution
 
AlphaMale, Na mnavyojua kuforce mtu hata kama hataki

Utajua hujui kama wanafata pesa au nn

Kama hautaki kuombwa usitongoze toboa godoro na sabuni zipo na dolls zakumwaga

Sijasema kuwa ni vibaya kwa wadada kuomba boyfriends wao hela, ubaya unakuja pale una-date/una-sex/unaolewa na mwanaume usiempenda ili akupe hela, ndo concept ya kujiuza inaanzia hapo, wadada wengi wanafeki hisia kabisa, wanajifanya wamevutiwa na ww kimapenzi kumbe wanataka uwe nao kwenye uhusiano ili uwape hela, hawana tofauti na wadada wanaojiuza barabarani kwani ukipita corner bar wadada wanaojiuza barabarani watakwambia kaka Nina nyege tukatiane, kumbe hana nyege wala nini, anacho focus ni hela yako.

Hata usipo-force mapenzi, mwanaume utaombwa hela tu Goddess
 
Maisha na mapenzi hayana formula hua wanajikuta automatic wanapenda sana wenzi wao ndo maana hata wanapata wivu nao
 
Back
Top Bottom