MTIMBICHI
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 946
- 214
Nawataharifu kkuhusu sheli za oil com ni wezi vibaya tahathari ukiwa unaweka mafuta usikae kwenye gari shuka uhakikishe nilijua ni mimi tu nimepata ili tatizo nimekutana na rafiki zangu 3 wanalalamika nilipowauliza sheli gani wakasema ni oil com nimeamini kweli jamaa wasanii. Tuwe makini jamani