Kwa mtazamo wangu kinachozungumziwa kwa wanawake wahehe na wabena kusifika kwa upole nakubaliana nacho

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,409
19,009
Wengi (Sio wote)

Hii kitu kiukweli na mimi naidhinisha kuna ukweli kabisa.

Wanawake hawa kiukweli kwa mtazamo wangu wanajua jinsi ya kuishi katika ndoa na kumtunza mwanaume na watoto kwa kiasi kikubwa.

Narudia tena, sio wote ila ni wengi.
 
Me kwa mtazamo wangu kanda maalumu ndo inaongoza kutoa wife material ......Nshawahi kuwa na binti kutoka pande hzo dah ...yule binti azidi kubarikiwa tuu ,me ndo nlizingua mwenyewe

Note: Hakua Bikra
 
Usithubutu, nakuambia usisubutu acha,
Kama tayari unaye, usidanganye mtu,
Hao ni balaa ndugu yangu, narudia ni balaa, halafu akili yao muda wote yuko na wewe lakini akili yote ipo kwao,
Tafakari sana
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom