Ni mimi peke yangu sipend kupostiwa ama?

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Mupenz wangu huwa ananipost sana ..nmemkataza asinipost instagrm ila ananipost sana whatsp..sasa dah

Imekua mwiba hii ishu...sjaelewa lengo lake...

Mi huwa nna mawazo mabaya kwel..sometime nawaza tu kijinga kwamba anapost ili ajijue yuko peke yake ama nin

Ili kwamba hata kama mwingne agonganishe magar ama

Nmemwambia mi nmeacha tabia hzo haelew

Mim sipend kupostiwa jaman dah..naona utoto flan hv...hyo valentine sasa ndo ilikua kama picha zmeungana yan..yaan ni kama mstar wa status...

Kiukwel nmekereka ..ila sasa bint mwenyew nashindwa hata react maana atajiskia vbaya maana amekufa ameoza..nalijua hlo

Dahh..mitihan hii

Uzi tayar
 
Mkuu kama uko clean na huna makando kando kwanini hupendi?

Hapa kuna mawili mkuu, mosi, humpendi mpenzio kiviiiiiile yaani you are not proud of her, so akikupost ni kama anakuchoresha maana watu watajua ni mtu wako au/na pili, hayuko peke yake kwako, ana wenzie sasa hizi mambo za kupostiana ni kama anataka kupigisha shoti
 
Ni u-teenager na mkumbo wa kishamba uliokua trend na sasa unafanywa kama fashion

Mwezi uliopita kuna mchizi alifiwa na baba yake basi siku nzima jamaa anapost mapicha ya dingi yake tu na caption ya r.i.p kila social network jamaa anaacha post, mpaka nikaanza kuwaza huyu mchizi anapata wapi huo muda wa kushika simu kipindi hiki cha majonzi na maiti hata kuzikwa bado?

Jamaa alikua anapost picha kuanzia mchakato wa kumtoa marehemu mochwari hadi kuzika, mara ajirekod analia eti akonge nyoyo za watu aonekane ameguswa na msiba

Mchizi amekua kero sana leo nimeamua nim-block baada ya kuona msiba umeisha yapata mwezi na siku kadhaa lakini bado anapost post tu r.i.p baba kila sehemu
 
Kuna asiye na makandokando kizazi hiki?
 
Watu wa namna hiyo wanakuwa hawajaguswa hata kidogo na msiba,aliyeumizwa na msiba hana muda wa kifanya uwenda wazimu huo,na kama ndio mimi nimekufa halafu mtu wangu wa karibu akaanza kufanya upumbavu huo nachomoza kwenye jeneza namkata vibao vya haja halafu narudi tena kwenye jeneza shughuli za mazishi ziendelee.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Mimi. Sijawai postiwa jamani....Japo ningependa hata Mara moja...

Kuna Muda naweza post kitu...amabacho Mimi na mlengwa tu ndo tunaelewa...but anakiona alafu hasemi kitu...

Nimeamua kuachana na hayo maswala ya kupost
 
Mupenz wangu huwa ananipost sana ..nmemkataza asinipost instagrm ila ananipost sana whatsp..sasa dah

Imekua mwiba hii ishu...sjaelewa lengo lake...

Mi huwa nna mawazo mabaya kwel..sometime nawaza tu kijinga kwamba anapost ili ajijue yuko peke yake ama nin

Ili kwamba hata kama mwingne agonganishe magar ama

Nmemwambia mi nmeacha tabia hzo haelew

Mim sipend kupostiwa jaman dah..naona utoto flan hv...hyo valentine sasa ndo ilikua kama picha zmeungana yan..yaan ni kama mstar wa status...

Kiukwel nmekereka ..ila sasa bint mwenyew nashindwa hata react maana atajiskia vbaya maana amekufa ameoza..nalijua hlo

Dahh..mitihan hii

Uzi tayar
Mkuu nipe namba yake niwe na view status
 
nakumbuka ilikuw jpil ya week iliyopita alinipost status WhatsApp.dk 20 mbele nashangaa kwenye cm yangu UNREAD SMS 18 .

nikapigwa block na madem zangu wote

siku hyo hyo nikamla mhindi 1,680,0000
 
😂Mzee baba nipe tips za leo nipate hata ya vocha...🙌
 
Back
Top Bottom