Dalili zinazo ashiria kifo cha mapenzi

Dalili zinazo ashiria kifo cha mapenzi

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
763
Bila shaka jambo lolote haliwezi tokea bila kuwepo kwa dalili.

Katika mahusiano ni dalili zipi zinaweza ashiria kuvunjika kwa mahusiano?

1) Ukianza kujihisi upo pekee (alone) wakati una mpenzi, nayo ni dalili mojawapo.
(Red flags)
 
First
Nini kinasababisha penzi kufa?
Bila shaka jambo lolote haliwezi tokea bila kuwepo kwa dalili.
Katika mahusiano ni dalili zipi zinaweza ashiria kuvunjika kwa mahusiano?
(Red flags)
 
Kukosekana maelewano. Hii ni dalili kubwa sana. Kwa wapenzi wanaoishi mbali mbali hata wale wanaoishi nyumba moja,wote ni wahanga katika hili.
 
Kupotea kwa heshima, hasa mtu anaanza kukujibu kwa namna yoyote anayojisikia, mfano, kukutukana, kukujibu ndivyosivyo nk.

Oungo, unagundua anakudanganya mambo mengi hata mengine yasiyostahili.

Mawasiliano na kujali kupungua bila sababu ya msingi.

Usiri, anaanza kukuficha mambo yake
 
mwanaume suruali. Mke kusema kwa mtoto tena mbele yako "nyamaza mwanangu mie ndo baba ndo mama".
Utasikia "humu ndani tjifunze ustaarabu hiki kiapu mkitunze"

Mara "naenda harusini abakuacha weye"

Utasikia '" mapenzi siyo chakula!!" tuheshimiane!
 
Back
Top Bottom