Wanawake sasa hivi tunaaachia sana....tunatanua miguu mpaka hatutaki irudisha tena. Siku mbili tatu mtu kaomba mzigo kakuhonga unamwachia.
Matokeo yake mnabaki kulalamika sijui wanaume vibamia...
Sifa zangu
Miaka yangu 33
Kaz biashara ndogo ndogo
Kabila sukuma /nyamwezi
Makaz dsm
Dini roman mkristo
Mrefu mweusi mawasiliano yangu ni 0763932278
Vigezo vya mke
Asiwe na mtoto
Umr uwe...
Sokaine and Stephanie with their goats (Stephanie Fuchs)
A German woman who married a Maasai tribe leader after she fell in love with him while volunteering in Tanzania has launched an...
Habari wadau ,naombeni msaada katika hili,niko kwenye mahusiano nanyuma nimepitia mengi mpaka kukosa mke kisa pombe yani siwezi kabisa kuacha pombe yani ni heri nimuache mwanamke ila sio pombe...
Salam,wanaume tujitahidi kusaka Euro kwa kila hali.Hakuna mwanamke anayependa shida.Tuache usharobaro wa kuchagua kazi,Kama huna hela hata za kumpa mahitaji madogo mpenzi wako unamuweka mazingira...
Kuachwa na mtu unayempenda huwa inauma sana na kama huna moyo wa kustahimili ....
Sasa katika pitapita zetu za hapa na pale huwa tunakutana na watu wa aina nyingi tunawafahamu na tusiowafahamu...
Inaweza tokea ukampenda mtu sana na ukaapa hata iweje hamtakuja kuachana lakini mkaja mkaachana. Mimi kwangu sababu ilikua ni dini.
Wewe sababu yako ilikua nini?
Kuna msemo maarufu miongoni mwa wanaume wapumbavu kuwa eti "WANAWAKE HAWAELEWEKI",huku ni kujazana ujinga na kuwajaza ujinga watoto wetu wa kiume kwa maana kabla hata ya kuja kwa maandiko...
habari!
maisha hayataki mtu goigoi, anaelia lia yanataka mtu mwenye nguvu na mamlaka mwenye kuyaamrisha maisha, kuyaongoza anavyoyataka yeye!
.
maisha hayampendi mtu anaelialia anaelalamika...
Kwema wakuu, Wakati fulani katika harakati za kutafuta mwenza changamoto huwa ni nyingi sana, Sasa kunavitu/characters ambavyo/ambazo unakuwa umeridhika navyo sana kuhusiana na binti/...
Salamu Kaka na Dada
Mimi ni kijana ambaye kwa mujibu wangu na akili yangu najiona tayari nishafikia umri wa kuwa na mwenzangu na kwa kuwa ni lazima nitafute, basi nimejikuta natamani kumuoa...
Nasikia wadudu huwa wanaongeza hamu ya tendo,Je ni kweli wakuu? Hapa nilipo nipo na ndoo nzima natafuna senene kitakachonitokea sijui. Kama una kitu kingine cha kunishauri kuhusu tendo, tema...
Mwaka 2014 nilikuja Dom kikazi majira kama haya...
aisee mji ulikuwa umechangamka sana. kuanzia Chako ni Chako, Mwanga Bar, Club 84 na Maisha.
kulikuwa na Totozi na ilikuwa raha saana kuja Dom...
Wakuu natumai hamjambo,
Wanaume wengi hua na ndoto yakuchakata bikra but wengi hawafanikiwi coz hawapo katika makundi ambayo ndo yanaongoza kwa utoaji bikra.
Haya ndo makundi yanayoongoza...
Natafuta msichana wa kuoa na kuanzisha familia naye
umri wangu miaka29
Dini ni mkristo
Kazi nimejiajiri
sifa za msichaa nimtakaye
umri kuanzia 19-26
dini lolote, awe na hofu ya mungu tu...
Nahitaji mwanaume alie serious kuanzisha mahusiano na badae kuwa mume na mke. Sifa zangu
-umri 32
-Mkristo
-Sina mtoto
-Nimeajiriwa Government
-Elimu Postgraduate
Sifa za mwanaume awe na
-Umri...
Ni changamoto kweli kweli, niko kwenye mahusiano na mwanamke flani hivi ambae ni mke wa mtu yuko ndoani takribani miaka 15 kwa sasa lakini hajabaatika kupata mtoto.
Nilimtongoza kama utani, na...
Awe mume, mke, mtoto, mzazi babu au bibi hata rafiki au mpenzi. Marehemu akisha kufa inauma sana kufuta namba zake za simu. Wakati ule wa simu za mezani za Shirika la Posta na Simu, jirani zetu...
Iwe na maneno uliyoyasikia kwa muda mrefu, leo unawakuta bar wakitafuna nyama choma. Kuna wake wa Mikocheni wanafikiria hajulikani Mbagala, mara unamuona mume wako na taulo kiunoni anatoka kuoga...