Natumaini hamjambo wale wagonjwa Mungu awaponye kwa uwezo wake, naandika hapa kwa uchungu jinsi nnavoona ndoa nyingi zinavyoteketea Hususan kwa vijana aged 25 to 40 niseme tu hili nalo ni janga...
Katika maisha yangu nilikuwa na furaha na Amani na nilikuwa single kabisa sio wote walio single wanastress.
Basi baana akatokea mtu from no where na Ahadi kem kem nakujifanya ananipenda Sana but...
Habari ya asubuhi watu wangu wa nguvu ni furaha yangu kusikia mko na afya na ni wazima. Tuliowapoteza wapendwa wetu Mungu azidi kututia nguvu peke yetu hatuwezi 😔😔
Ninazidi kutafakari hali hii ya...
Hello guys!
Hivi ni mambo gani yanaweza kufanywa na wenza wakiwa fungate ili wasiwe bored? Maana hii ya kunyanduana tuuu kwa two weeks naona kabisa ni mtihani.
Mimi kwa upande wangu naona ni mwanamke kutokana na maumbile yake na majukumu yake kama mama, ikiwa ni pamoja na kuzaa. Kuzaa watoto wengi hupelekea mama kuchoka mapema na kupoteza muonekano wake...
Habari wakuu.
Mke wangu ni muajiriwa kwenye moja ya entities hapa Tanzania, kipato chake kwa mwezi ni around 1.9m baada ya makato yote ya serikali.
Mimi kipato changu ni around 500k kwa mwezi na...
Siku moja jamaa mmoja alichinja ng'ombe mnono na akachoma vizuri, baadaye akamwambia mke wake: "NENDA NA KAWAALIKE MARAFIKI NA MAJIRANI ZETU WAJE TULE NYAMA."
Basi mke mtu akatoka nje na kuanza...
Hakika mahusiano ni cimplex sana!
Yamenikuta leo,nimeshindwa kufanya kazi,wakati wote nina mawazo mengi sanaa!
Nilikatazwa kuwa na mahusiano na single mother nikajifanya kichwa ngumu mimi!
Imani...
Nipo na mpenzi kwa muda sasa. Siku moja nikaiona nywila (password) ya simu yake na niliyoyakuta ndio niliyoyakuta. Ugomvi ukawa mwingi, sikumpiga bali niliminya si kidogo. Jamaa aliyekuwa...
BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"...
My Boyfriend Says He Will Marry Me When I Lose Weight"
It is uncommon for people to go through body shaming in the hands of their other halves.
But the fact that it is not common doesn't in...
Salaam,
Twende direct kwenye point..kwa jinsi nilivyo ni introvert flan hivi ambae sipendi sana kujichanga na watu,sina tabia ya kuchekesha katika story,sio mtu wa kujielezea sana wala wa siwezi...
Kama ilivyo kawaida yake, aliamka mapema, akaingia kwenye chumba chake cha mazoezi, akapasha viungo joto.
Baada ya muda kidogo anatoka, akaingia bafuni akaoga.
Baada ya hapo akavaa suruali na...
Wakuu nisaidieni ushauri demu wangu ninaetarajia kumuoa nimempa ruhusa kwenda beach na rafiki zake baadaye nikapita huko nikamkuta anabebwa na kijana juu kwa juu nikakasirika nikamtwanga kibao...
Tusemeni tu ukweli wanaume kwenye suala la ku tunza akiba aisee ni 0 yaani tunatumia hela yote hatuwezi kuweka pesa ni Bora chenji chenji tuwe tunawapa wanawake zetu siku una shida hata ya buku...
JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI*
Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu.
Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne:
• PROTEIN,
•...
Wakuu salama?
Na dawa ya NIMRCAF nimenunua asee hii dawa ni kiboko sana, nje na kuponya mafua pia inasaisaidia kule 6x6 kwa bed yani nakula mzigo bila kutoa wazungu.
Dawa hii inamchanganyiko wa...
Naimani wote ni wazima namshukuru Mungu pia nami ni mzima,nimekuja mbele yenu tena maana mtafutaji hachoki na hakichoka ujuwe kapata.
Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa Mke wangu:
SIFA ZANGU...
Habari JF?
Poleni na misiba inayoliandama Taifa letu pendwa la Tanzania.
Nipo safarini mkoa flani, na huo mkoa kuna binti flani alikuwa mpenzi wangu some years ago.
Tumerejesha mawasiliano hivi...