Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mke anahitajika jamani awe mrefu mweupe awe saiz ya Kati sio bonge age 21- 24 religion yoyote Nawasilisha[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Pm ipo wazi .
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna kademu kazuri msomali sio msomali,mnyarwanda sio mnyarwanda kama vile kaethopia Fulani hivi matata! Sasa mtoto bado mbichi kabisa kanichengachenga kama maradona! Sasa nataka nitangaze ndoa...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Mifano ya Kichwa changu cha Habari ipo mingi tu ndani na nje ya Tanzania ila kwa Tanzania naona hali hii inaongezeka kila Uchao tu na Kututishia.
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Ni mchepuko wangu mpya, niko naye huu ni mwezi wa tatu. Sijawahi kumpa hela, jana nimelala naye usiku mzima, asubihi ananiaga anaondoka nimempa elfu tano ya nauli. Akaikataa, akasema asante anayo...
21 Reactions
121 Replies
12K Views
Wadau kuna siku nipo nafanya service garage fulani mara na baba mkwe naye akatia team amekuja fanya garage hapo hapo. Wametengeneza mara kuna spare inahitajika na amepungukiwa 190,000. Akanambia...
9 Reactions
53 Replies
5K Views
Ee bhana nikiri ukweli tu hapa naona kila dalili za kugongewa! Huyu dem nilikutana nae Kilakala Sekondary kipindi nikiwa kidato cha Nne na yeye akiwa kidato cha nne Bythat time nilikua Seminary...
11 Reactions
316 Replies
31K Views
Hiki kipindi cha Karantini tunashudia mengi jamani. Huko Italia kuna mwanaume mwenye asili ya Afrika amepiga simu polisi kuomba msaada wa kuondolewa nyumbani ili amuepuke mpenzi wake mwenye uraibu...
23 Reactions
111 Replies
14K Views
Nilianza kukutongoza miaka miwili iliyopita tukiwa collage na hatimaye ukanikubalia tukaanza mahusiano yetutena kwa furaha ya ajabu. Tangu niwe na wewe nilikuwa sijui uchungu wakutendwa...
0 Reactions
56 Replies
10K Views
Wakuu ni rafiki yangu wa karibu sana mwaka wa tatu anaishi na mke wake ambaye yeye anadai alimuoa tu kutokana na kwamba akiwa single aliwahi kutoka na huyo binti na hatimaye akapata ujauzito...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Katika kutibu kiu ya kujua mambo mimi na wenzangu wawili Thomas na Lilian (sio majina yao halisi ) tuliamua kufanya utafiti binafsi juu ya "women obidience to their bosses VS...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ndiyo observation yangu 1.mademu wenye umri 19-24 kama mmependana bas ni kwel anakua amekupenda mara nying hawa mnakutana chuo.no vizinga,wote mnakula boom.anakupenda ulivyo.huyu hata...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuongea na mama wa mchumba wako ambaye una malengo naye lakini hujamtolea barua kuhusu mwenendo mbaya wa mahusiano yenu unaosababishwa na mwanaye.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukiona mwanamke yeyote amekuacha na badala a move on na mtu mpya amemrudia ex wake ujue ni kwamba wewe umeshindwa kuvunja rekodi aliyoweka Ex wake. Maisha atayafurahia sana endapo utaweka sehemu...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndoa nyingi zimekuwa zikikumbana na misukosuko mingi ambayo wakati mwingine huwa ni mateso makubwa,wakati mwingine hupelekea kuvunjika au kudhalilika katika jamii. LEO nitamzungumzia...
49 Reactions
146 Replies
15K Views
Kuna mazuzu wanadhani akimtongoza mwanamke kwa kumponda jamaa yake kwamba hafai basi yeye itakuwa ni rahisi yeye kumpata mwanamke huyo! Hapo itakuwa ni rahisi sana mtongozaji kupigwa chini na...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakubwa wanafaidi! Ni nadra sana kukuta wanandoa wakichat kwa meseji muda mwingi, kwa kile wanachokiita ndoa yenye heshima basi hutumiana jumbe nyeti tu au maelekezo ya majukumu yao. Wakati huo...
14 Reactions
52 Replies
5K Views
Unakuta ni familia yenye uwezo, lakini watoto wao wa kiume hawana uwezo wa kupata watoto. Katika maendeleo ya mwanadamu, kilichosabisha ustaarabu wa kuoana na kuanzisha familia ilikua ni...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Hi!!!!!!! Napatikana Dar es Salaam Nahitaj binti mwenye sifa zifuatazo Awe mweusi Awe na miaka 24-27 mi umri wangu 25 Awe na hofu ya Mungu Awe na kazi asiwe na kazi yote sawa (kama hana kazi...
2 Reactions
63 Replies
5K Views
Bandugu wa JamiiForums Nimeleta hili jambo limenitokea usiku huu hapa alichokifanya huyu rafiki yangu Mimi ni rafiki toka zamani tulipokutana chuo mwaka wa kwanza hadi sasa tupo mwaka wa pili...
9 Reactions
41 Replies
5K Views
Aiseee hali si shwari mtaani. Halafu wadau wamegundua kwamba hii kitu imekuwa kichocheo kikubwa cha mahusiano katika nyakati hizi za mwisho za dunia, bahati mbaya wake zetu vipenzi (most of...
3 Reactions
86 Replies
16K Views
Back
Top Bottom