Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Kuna mazuzu wanadhani akimtongoza mwanamke kwa kumponda jamaa yake kwamba hafai basi yeye itakuwa ni rahisi yeye kumpata mwanamke huyo! Hapo itakuwa ni rahisi sana mtongozaji kupigwa chini na kuonekana boya!
Ukimpenda mwanamke panga mashambulizi yako binafsi mfanye akuone bora na sio mwanaume unashindia maneno ya taarabu!
Uzi tayari
Ukimpenda mwanamke panga mashambulizi yako binafsi mfanye akuone bora na sio mwanaume unashindia maneno ya taarabu!
Uzi tayari