Ni sahihi kuongea na mama wa mchumba ambaye hujamtolea mahari kumweleza mwenendo mbaya wa mahusiano yenu?

ubwiki

Member
Nov 24, 2020
47
22
Kuongea na mama wa mchumba wako ambaye una malengo naye lakini hujamtolea barua kuhusu mwenendo mbaya wa mahusiano yenu unaosababishwa na mwanaye.
 
Kuongea na mama wa mchumba wako ambaye una malengo nae lakini hujamtolea barua kuhusu mwenendo mbaya wa mahusiano yenu unaosababishwa na mwnae..!!

Uoga ulikuwa zamani mama wakwe wenyewe wanashinda instragram unashindwa vipi kumwambia hata ikiwezekana awe anakuliwaza mara moja moja machungu ya mwanae!
 
Kuongea na mama wa mchumba wako ambaye una malengo nae lakini hujamtolea barua kuhusu mwenendo mbaya wa mahusiano yenu unaosababishwa na mwnae..!!

Sasa wewe utakuwa una mueleza kama nani? Ikiwa umeshindwa kumfanya abadilike basi hata ukimwbie mama yake haitosaidia ukupende!
 
Kama hujamtolea mahali huyo ni mzinzi mwezio..huna sauti hadi kwa wazazi wake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom