Wezere, wezere, wezeree

Wezere, wezere, wezeree

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
13,976
Reaction score
22,419
Aiseee hali si shwari mtaani.

Halafu wadau wamegundua kwamba hii kitu imekuwa kichocheo kikubwa cha mahusiano katika nyakati hizi za mwisho za dunia, bahati mbaya wake zetu vipenzi (most of decent women) hawanaga hizi mambo. Huku kwetu sasa kisiwa ndio hizi mambo hamna kabisa, na hakika nawaambia Watanganyika, hizi mambo zinahusika sana katika kudumisha muungano otherwise fikra zingekuwa tofauti.

Hizi mambo zikipita pale Ngome kongwe, baghani kule, darajani, mitaa ya hurumzi na kote kule mpaka Jaws corner ambako ni maskani ya wazee basi watu lazima shingo zigeuke. Mimi mara zote hugeuza shingo isipokuwa tu nkiwa na wife ndio najifanya kama sijaziona.

Jamani dada zetu msitufanyie hivi, hii ni mbaya sana! mambo yakituzidi huwa tunaziagizia kutoka bara, gharama yake ujue itazidi 150,000 per day kimaskini maskini maana nauli ya boti ni 50,000 (return ticket), the cheapest guest nje ya stone town ni 50,000, mkila 20,000 kama lunch na yeye ukimuachia 30,000 ashike mkononi basi umaskini unauona uleeeee.

Hizi wezere dawa yake ni nini jamani?? Maana zimekuwa balaa kubwa sana hapa mjini.

Yaani inafika kipindi tunakuwa hatuoni hasara kama wezere ipo, ila kama umepigwa pasi tukimaliza tu ile game tunaanza kujilaumu. Hebu wadada kumi ambao wana wezere wajitokee hapa na kila mmoja namzawadia 5,000/ ya vocha leo leo kama zawadi yake ya kuwa na hiyo kitu

cc: Behaviourist
 
Wezere kwa matumizi ya dharura huwa zinafaa sana....
Ila huwa tunaoa flat screen...
Wanaume tuna matatizo mengi sana....
Hata upewe wanawake 50 uchague mmoja mwenye kila sifa ukishamchagua roho lazima ikuume kwa kuwaacha wale 49...
Huu ni moyo wa upendo
 
Mi sijaelewa Wezere unamaanisha nini mkuu ? Sisi wwngine ni wagumu kuelewa darasani tusipoona japo kapicha,kama vipi tuwekee japo na kapicha basi
Mkuu watakuja jamaa kuzitupia mapicha, hii mambo inabidi ulazimishe akili yako kuelewa
 
Wezere kwa matumizi ya dharura huwa zinafaa sana....
Ila huwa tunaoa flat screen...
Wanaume tuna matatizo mengi sana....
Hata upewe wanawake 50 uchague mmoja mwenye kila sifa ukishamchagua roho lazima ikuume kwa kuwaacha wale 49...
Huu ni moyo wa upendo
Na sijui kwanini mkuu, hii midude ndio tunapenda lakini likija suala la ndoa flat screen wanashinda game. Hii imekaaje mkuu hebu nipe somo hapa
 
Ukienda Ccm,kwa raju,bot,Entebe Chukwani,bwawani!huwezi kosa,wakutoka bara kabisa!
Kabisa mkuu lakini ndio kutoka mainland, halafu hizo sehemu nyengine sisi sio waendaji mkuu ndio maana. Kama Entebbe tunaona jau si unajua unapojulikana sana inakuwa noma
 
Back
Top Bottom