Habari wadau
Leo ni kumbukizi ya wababa duniani nami nawatakia heri na fanaka katika kumbukizi hii especial dady wangu namlavu sana kwa kunilea na kunitunza mpaka niko hivi
Pia sitamsahau dady...
1. SAMEHE
Ngumu!Kila mtu anaguna aaargh,mi siwezi kumsamehe huyu Mwanaume,nimetoa Mimba zake 3 na bado kaniacha hana Shukrani!Hata ukimchukia ameshaenda,na ukimchukia hakutabadili zile mimba 3...
Habari zenu waheshimiwa! Kwanza namshukuru Ghafuli kwa kutupitisha salama Oct 28 na nitumie fursa hii kuwapa hongera washindani wote na watanzania wenzetu waliotumia haki yao ya kwenda kupiga kura...
Sifa zangu..
umri: 33
kazi: nimejiajiri/kuajiriwa
elimu: degree moja
makazi:kanda ya kaskazini
Sifa za mke..
umri: 18-35
elimu: form four ++
tabia/sifa: awe mpambanaji/upendo/tabia njema...
Naitwa Jackson nipo Moshi,
Sifa zangu mimi ni mkweli, muwazi, mpole, kazi nimejiajiri, umbo langu ni saizi ya kati sio mnene wala mwembamba na umri wangu ni miaka 26. Natafuta mchumba mwishowe...
Najua wengi wetu tupo humu tumepitia changamoto za mahusiano. Nisiwachoshe ipo ivi, kuna Dada nimeanza nae mausiano sasa katika mausiano yetu, nataka kuishi nae mke na mume na huyu Dada ni mzaliwa...
Aisee, Dunia ina mambo.
Wiki iliyopita Jumamosi mtaani kwetu mida ya saa 7 usiku, gari ya polisi ilisimama wakaweka roadblock kuwakamata wazururaji. Ukikamatwa unakaguliwa, unajieleza kama...
Takribani siku chache tangu nitambulishwe ukweni kama kijana mtarajiwa mambo nilioweza kuyaona.
1.Nilikaribishwa salama salmini kwa vifijo na vigelele msosi ulipikwa tukala na kusaza.
2.Baada ya...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania kulingana na utafiti wangu;
Kwanini katika familia nyingi watoto wengi hupenda zaidi ndugu wa upande wa mama kuliko wale...
Jaribu kutengenezea mazingira yenye utulivu ili aweze kuzingatia kazi aliyopewa. Televisheni, Muziki, Kelele na Simu za rununu ni vizuizi vikubwa kwa Mtoto kuwa makini. Unapoona wanasoma au ni...
Kuna jamaa alishauri kama una madeni Bora uyasamehe kuliko kujipa pressure ya bure na kweli nimegundua watu wote ninaowadai niachane nao madeni yenyewe hayafiki laki moja.nimeona umaskini wangu...
Ushauri tafadhali!
Umeoa mke mwenye mtoto na unaishi naye huyo mtoto ukihudumia huduma zote!!
Huko nyumbani nawe una mtoto pia yuko kwa bibi yake (mama yako) anaishi na kusoma, mama wa mtoto...
Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia inasadikika hakuna kitu ambacho kina nguvu sana kama mahusiano ya mapenzi, hata hivyo kutokana na nguvu hiyo ya mahusino, watu wengi hufikiri mwanaume...
Kuna wanawake wengi sana (Wa Imani ya Kikristo?) ambao ndoa na maisha yao yamevurugwa mno na manabii wa Uongo...siyo katika ndoa na mahusiano tu bali hata katika biashara, masomo na kazi zao...
Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka...
Usije ukakimbilia kumuacha mpenzi wako uliyedumu naye miaka kadhaa kwa kuamini eti utapata mwingine utakuwa umefeli sana, utakuja upate mwingine hata mwezi usiishe ukaona bora yule uliyemuacha...
From ma heart i can not protect u from cheating but its ma job remembering u,kuna vitu unafanya that affecting me 4 real,ww ni handsome and i know dat unakuwa approached Sana please usifanye vitu...
Kitendo cha kukumbatiana sio tu kinaleta upendo na kuileta jamii pamoja bali kina faida kubwa za kiafya na kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanywa, watu hushauriwa kukumbatiana angalau mara 8...