Natafuta mke wa kuoa

Jack2021

Member
May 7, 2021
14
45
Naitwa Jackson nipo Moshi,

Sifa zangu mimi ni mkweli, muwazi, mpole, kazi nimejiajiri, umbo langu ni saizi ya kati sio mnene wala mwembamba na umri wangu ni miaka 26. Natafuta mchumba mwishowe awe mke wangu, sifa za ninayemhitaji, awe mnene wa umbo sihitaji mwanamke mwembamba , mpole, mkweli, muwazi, awe anajishughulisha na kazi yoyote halali pia umri wake asizidi miaka 25.

Kama yupo mwenye sifa hizo anitafute kwa namba 0629235516. Asibipu, apige au atume sms nitajibu.

Ahsante.
 
Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
9,262
2,000
dogo mwanamke wa kuoa umri wake unatakiwa uwe sawa na umri wako gawanya kwa mbili jumlisha saba au chini ya hapo. Mfano wewe unatakiwa uoe mwanamke mwenye miaka 20 and bellow. Thank me later.
 
Jack2021

Member
May 7, 2021
14
45
dogo mwanamke wa kuoa umri wake unatakiwa uwe sawa na umri wako gawanya kwa mbili jumlisha saba au chini ya hapo. Mfano wewe unatakiwa uoe mwanamke mwenye miaka 20 and bellow. Thank me later.
Ahsante kwa ushauri mkuu
 
souljar

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
784
1,000
Sasa bwana Jackson unatafuta binti wa asiyezidi 25 yrs mnene, uko mbeleni unataka kurudi na lawama kama sio topic ya "MKE WANGU KAWA KAMA TEMBO"
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
43,911
2,000
Sasa bwana Jackson unatafuta binti wa asiyezidi 25 yrs mnene, uko mbeleni unataka kurudi na lawama kama sio topic ya "MKE WANGU KAWA KAMA TEMBO"

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app

Kweli ,binti wa 25 atakuwaje mnene? Kama akimpata mnene wa 25 akishaanza nae maisha na kujifungua aisee atakuwa mara mbili ya Asha Boko.
 
Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
4,996
2,000
dogo mwanamke wa kuoa umri wake unatakiwa uwe sawa na umri wako gawanya kwa mbili jumlisha saba au chini ya hapo. Mfano wewe unatakiwa uoe mwanamke mwenye miaka 20 and bellow. Thank me later.

Asee huku hesabu hazitaiwi ku balance kabisa
 
MwanaAman

Member
Sep 17, 2020
24
45
Naitwa Jackson nipo Moshi,

Sifa zangu mimi ni mkweli, muwazi, mpole, kazi nimejiajiri, umbo langu ni saizi ya kati sio mnene wala mwembamba na umri wangu ni miaka 26. Natafuta mchumba mwishowe awe mke wangu, sifa za ninayemhitaji, awe mnene wa umbo sihitaji mwanamke mwembamba , mpole, mkweli, muwazi, awe anajishughulisha na kazi yoyote halali pia umri wake asizidi miaka 25.

Kama yupo mwenye sifa hizo anitafute kwa namba 0629235516.
Asibipu, apige au atume sms nitajibu.
Ahsante.

Ukioa na mimi niolewe mungu ni wetu sote
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom