Fast foward.......
Hii masaji ilikuwa mobile yaani alikuja room kunifanyia masaji.
Alipofika akaanza na gia ya kuvaa kihasara-hara. Alikuja very decent akaomba aingie bafuni. Akaoga na kutoka na...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012 nilikuwa nimerudi kutoka nchi X nikafikia Dar es Salaam walipo ndugu na Jamaa kwa vile asimilia kubwa ya ndugu wengi wapo Dar es Salaam!
Sema ukweli ilikuwa ni muda...
Kwa mfano nikikerwa suluhu yangu ni kujifungia ndani na kujumlisha changamoto na magumu yote niliyopitia katika maisha yangu niliee weee mpaka moyo usuzike baada ya hapo nitakavyoanza kucheka na...
Tunamshukuru mungu kwa kumaliza mwaka na kuanza mwaka huu mpya. Ushaur wangu kwa wanawake tunauanza mwaka huu mpya naomb tuuanze kwa mabadiliko makubwa
Kwanza tuache kuomba pesa kwa wanaume ...
Ni mwaka sasa umepita tangu niifute namba yako kwenye simu yangu
Japo juzi juzi umenitafuta ila sio kupitia namba yangu kupitia kwa ndugu yangu habari nikazipata nikamwambia achana nae
Kiukweli...
Sijui ni mimi tu pekee au kuna na wengine?, Naomba nipate Uzoefu wenu. Mimi huwa nikitoka kufanya mapenzi huwa nakula kama mchwa. Nakula mara mbili ya kile chakula nilichokuwa nakula kabla na njaa...
Kama mnavyojua swala la mimba na binti kupata ujauzito akiwa nyumbani huwa kuna changamoto nyingi sana binti anaweza kupitia kutoka kwa wazazi wake na mwanaume anaweza akazipitia japo sio sana...
Habari wa najamvi
Kisa kina hanza hivi Kuna bi dsda mmoja nilimpenda akanisumbua Sana baadae akaregeza kamba weyewe akaniomba nimtumie nauli baada ya Mimi kuamishwa kikazi mikoani .
Muamala wa...
Aisee wanajamvi nashindwa kuelewa kama ni upendo pekee au kuna kichochezi..
Huyu mwanamke Mama watoto wangu kila kitu anachotaka kutoka kwangu ninampatia kwa gharama yoyote ile.
Akinikwaza...
Habari zenu wakuu
Ni miaka kadhaa wa kadha imepita , wakati niko chuo nilikuwa nimepanga sehemu furani hivi , Sasa huyo jamaa mmiliki wa nyumba alikuwa na shemeji zake wadogo wadogo. Binti mmoja...
Habari ya leo jamani,
Nimekuja kuomba ushauri mwenzenu.
Hebu nisaidieni nifanyeje ili nijue kuhonga maana kila nikijaribu kuhonga nashindwa.
Saa nyingine naweza kujipanga kabisa kwamba mwezi huu...
Kutokana na hali Ngumu ya maisha na tatizo la ajira vijana wengi tumeamua kurudisha mpira kwa kipa huku tukisubilia mambo yakae sawa tujipange upya na sis tufanye maisha yetu kama awali.. Wengine...
Nimekutana na hicho kisanga leo kwa mtoto mmoja wa kigogo,
Huyu mtoto nilikutana nae kiwandani kwangu na kuomba game kiutani utani hivi of course mtoto alitiki na kutimba gheto kama siku mbili...
Najaribu tu kuukumbusha ubongo wako kidogo, jambo dogo ila ndio source ya mambo yote mabaya katika ndoa au mapenzi.
Usiwe na mahusiano ya kimapenzi na mtu unayempenda wewe huku hujajihakikishia...
Enzi zetu chumbani mnalala na bibi, shangazi, dada wa kazi ukiwa na bahati unaweza kuwa na kitanda chako mwenyewe. Hawa wageni wanaweza kukaa miezi sita na maisha yaliendelea.
Hawa watoto wa...
Habari za muda huu wana JF!
Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza hapo.
Nimempenda mdogo wake na mke wa kaka yangu. Je naweza kuoa?
Kimaadili imekaaje hii?
Msaada tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.