Tang Zhou
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 1,206
- 2,591
Kuna wanawake wengi sana (Wa Imani ya Kikristo?) ambao ndoa na maisha yao yamevurugwa mno na manabii wa Uongo...siyo katika ndoa na mahusiano tu bali hata katika biashara, masomo na kazi zao..
Basi ukisoma ushuhuda huu wa Mwanamke mmoja wa South Africa waweza kuokoa ndoa, mahusiano, au hata kazi yako..
Soma hapa(Kimombo lakini):
How my pastor brainwashed me: 'He told me to divorce my husband'