Condom inasaidia wakuu

MastaKiraka

JF-Expert Member
Jan 10, 2015
1,393
2,000
Kwa sisi ambao sio Wakuu inakuaje?

Halafu haya mambo ya kuambiwa fulani ana ukimwi sio mazuri, huyo anayekuambka amejuaje kama huyo mtu ana ukimwi? Anaweza kukupa list ya wenye ukimwi? Au yeye anapima kwa macho? Anajua vipi kama wewe huna ukimwi?

Njia pekee ya kujua mtu ana ukimwi au hana ni kwenda nae kituo cha afya na kupima.

NB: Tusiwe na tabia ya kueneza story ya fulani ana ukimwi kwa kuambiwa tu.
 
scooman

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
2,725
2,000
Daa nikikumbuka maisha niliyopitia huwaga nasikitika na kujutia sana kwani bila hiki kitu cha ndomu sasa ningekua nimepumzika kwenye kijumba flani hivi cha kudumu.

Miaka mitatu iliyopita nilikua na manzi mitaa flani ivi huyo kwa kweli nilimtafuna sana.
Hakua msumbufu kama wanawake wengine ila hata pesa hakuwahi kuniomba zaid ya vizawadi vidogo.

Alinipenda kweli na siku ya kwanza tunaigiza hii michezo ya kibaba baba na kimama mama alinisihi condom mimi kama kawaida nikatii agizo lake na huo ndo ukawa uhalisia wa mapenzi yetu.

Ule mtaa kuna mdau tulikua tunafahamiana sana akaniambia flani ni mwaathirika wa kama miaka miwili hivi na zaidi! Daa kapresha kalipanda nikatami nijeuke moto wa petrol ila sikuweza nilishtuka sio mchezo. Sasa mdau alikua akifahamu mahusian yetu japo yalikua sio famous. Ilinibid nimuage ili nikapate kutafakari zaid.
Mda ulipita usiku ukaingia Ssiku ikafuata mnyama nikaenda kupima mda wa saa nne dispensary ya karib.

Daa niliwahi kuchecheme ila sio kivile kwa kweli hatimaye MAJIBUyakatoka na nilikua SALAMA.

Nawaambieni wakuu kuanzia hapo nilienda kusali sala nzito nikawa najisemea ivu Mungu kwanini umenipendelea hivi! Daa acheni tuu, basi nikashukuru nikasonga na yule mwanamke sikua hata na cha kumpa zaid ya kumuombea maisha marefu na barake tele kwa Mungu kwa wema alionifanyia kwani vinginevyo huu uzi usingekaa uonekane hapa JF now. Ni miongoni mwa zawadi nazozikumbuka maishani hasa aliposema "Uje na kinga".

USHAURI: Kwa kua ni dhahiri hakuna uaminifu kwenye mahusiano ya MAPENZI basi tumieni CONDOM kwani inasaidia na inaokoa maisha IKITUMIKA VIZURI.

Na nini WANAWAKE kuweni na roho nzuri saidieni na kuokoa maisha ya wengine kama huyo mwenzenu alivyonisaidia.

Na WANAUME pia jalini akina dada acheni rafu za kijinga. Hawa WANAWAKE nao wanaupatia kwetu WANAUME hivyo busara ni jambo jema zaidi.
We jifariji tu,pengine mashine ilikosea
 
Usher-smith

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
7,727

Acha uzinzi
 
God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,828
2,000
Si ndiyo maana upo kwenye dozi avatar yako imejibu kila kitu ila ukome kutufundisha na sisi ujinga
Nachukia sana watu wanaopotosha watu humu ndani ila after all kila mtu atalipwa kila anachostahili hii dunia. Kuna mtu anaitwa deception nae anapinga kinoma kuhusu ngoma na anakuja na hoja nzito sasa wengine wamemwelewa huyo ndugu mwisho wa siku.....
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,974
2,000
Na ukimwi hupati? au hufanyyi kabisa ngono?
Kwa taarifa yako tu ni kwamba nimeshawahi kulala na Mademu Watatu wenye Ngoma / UKIMWI / Dally Kimoko wawili sikujua na mmoja nilijua kabisa na wote niliwabandua Kavu Kavu / Nyama ndani Nyama nje / Ngozi kwa Ngozi ila baadae nilipoenda kupimana nao Wote ilithibitika kuwa Wameshaathirika na Kidume GENTAMYCINE nipo bado kamili gado. Hii ilikuwa ni mwaka 2010 Mkuu.

Baadae nikaona nisiamini sana hivyo nikaamua kupima kila baada ya miezi mitatu mitatu tena siyo katika Hospitali zetu za Vichochoroni bali zile za maana na kila nikipima Mwanamume nakutwa mzima sijaathirika. Kama unavyojua Mimi ni Mdadisi niliyetukuka nikaona nisikae kimya hivyo nikawashirikisha Madaktari kadhaa tena wale Specialists / Bingwa kabisa wa haya Magonjwa ambapo niliwapa matukio yangu hayo matatu ndipo na wao Kiutaalam kabisa wakanipa majibu Kuntu / Murua kabisa ambayo leo kwa faida yako na wengineo si vibaya mkayafahamu:

  1. Ukimbandua Demu mwenye VVU / UKIMWI bao moja ( 1 ) tu huupati maambukizi ng'o ila hakikisha umemuandaa na kule Mbunyeni mtelezo wa Kutukuka upo.
  2. Ukipenda sana kulamba Mbunye ( wenyewe mnaita Kuzama Chumvini kumtafuta Papa na Nyangumi ) au kupiga Denda pasipo utaratibu au umakini na Demu muathirika hapo lazima tu utalipiga sana Gitaa la Dally Kimoko ( utapata VVU / UKIMWI ) Na Mimi Demu tu wa fasta fasta huwa silambi Mbunye wala simpigi Denda bali nambandua tu nasepa zangu.
  3. Mtu yoyote mwenye Blood Group O kupata VVU / UKIMWI ni ngumu kwani waliniambia kuwa Vijidudu vya Ngwengwe havifui dafu kwa Kundi hilo la Damu au aina hiyo ya Damu na bahati nzuri GENTAMYCINE nina Blood Group C ya Kutukuka.
  4. Mtu yoyote mwenye Pumu / Asthma ile ya Kurithi katika moja ya Koo zake hata iweje hawezi kupata maambuizi ya VVU / UKIMWI kwani uwepo tu wa vimelea vya Pumu mwilini ni Kinga Kwao tosha na bahati nzuri GENTAMYCINE ni Mgonjwa wa Pumu w Kutukuka hivyo Gitaa la Dally Kimoko nimelikwepa. Na wakasema kuwa ukiona Mgonjwa wa Pumu / Asthma kaathirika jua ya kwamba huyo Pumu yake si ya Kurithi / Kuzaliwa nayo hivyo atalipiga mno Gitaa la Dally Kimoko.
Ni hayo tu Mkuu na nakutakia kila la kheri ila Mimi Condoms situmii na nawabandua 24/7 kavu kavu na bado nadunda na sana sana naona tu nawazika Wenzangu waliokuwa na wanaoniiga Kubandua Watoto wa Watu na wapo baadhi yao ambao sasa wanapiga mno nyuzi za Gitaa la Dally Kimoko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom