Wakuu everything gonna be alright nasema uongo ndugu zangu?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,648
Kuna jamaa alishauri kama una madeni Bora uyasamehe kuliko kujipa pressure ya bure na kweli nimegundua watu wote ninaowadai niachane nao madeni yenyewe hayafiki laki moja.nimeona umaskini wangu huu wa muda niuchukulie kama pambo.

Siibi cha mtu na Wala simnyimi mtu haki yake hela na Mimi nitashika tu tutashika wote nawaombea mafanikio.kilichobaki enjoy maisha kula fanya mazoezi sali kwa MUNGU Kisha jitoe beba kibendera mfuate yesu na mtume Muhammad kwenye msafara wake.ukitekenywa tekenyeka mzee Ila cheza kwa step usivuke mipaka si unajua kusoma na kuandika.

images%20(2).jpg
 
Back
Top Bottom