Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ya asubuh wakulungwa? Natumai mnaendelea vema na ujenzi wa taifa...!! Niende kwenye mada sasa, iko wazi kwamba neno mapenzi lina tafsiri ndefu sana viumbe wenzangu na haipingwi. Sasa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wenyewe tumetulia tuli, na tumeridhika na hali zetu lakini wao/wanawake ndio wapo Mstari wa mbele kututafutia Tiba za kuponya tatizo hili. Barabarani utawakuta wanauza vipande vya nazi, mihogo na...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naombeni ushauri... Hivi ikitokea kuna binti umempa ujauzito na maisha yako hayaeleweki nikiwa nina maana kimaisha bado haujasimama vizuri unawezaje kutatua Aina hii ya changamoto katika...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Habarini wakuu, Kuna mijadala humu imetokea inayohusiana na mahari nimeona maoni kutoka katika pande mbili (ke&me). Wanawake wanasema mahari ni kama unawashukuru wazazi wa binti kwa kumlea huyo...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Mara nyingi huwa napiga mashati ya vitenge na chini namaliza kwa suruali la kitambaa. Matenge ya kijani na rangi ya njano nayakubali na chini suruali ya darka blue. Sometimes nagonga kaunda suti...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Yea Ace Hood See mama, all I want you to do is hold it down for me I want you to be my ride or die While I go get this money, I promise I'm get us out the hood baby Even though I'm in the streets...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Unapoanza safari ya mapenzi, shika muongozo huu na uuamini; Amini katika mapenzi siku zote. Siyo tu yenyewe kama maneno, bali mapenzi katika maana na mzani wake sahihi. Amini kuwa zipo nyakati...
3 Reactions
16 Replies
9K Views
Nilikutana na mama mmoja ana real estate, nyumba zake hazipungui 20. Nilikua na hamu ya kufahamu alianzaje. Aliniekeza kuwa alipata ajira yake ya kwanza akiwa na miaka 26. Kazi ilikua nzuri na...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Mawasiliano ni nyenzo moja nzuri na muhimu kwa wanandoa. Iwe umesoma au haukusoma, uwe kijijini au mjini, uwe na hela nyingi au chache lakini huwezi kosa kabisa. Hebu tafakari, unaoa ama kuolewa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Praise The Lord! It is tradition kila mwaka siku ya mwanamke duniani lazima nitoe my 2 cents humu Jf, and this year hatutovunja that tradition. Kwanza natoa shout out kwa CRDB bank siku yaleo...
7 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wakuu, Hapo awali kabla magojwa yanayosababishwa na ngono zembe kuwepo kwa wingi, kulikuwa na tabia hii hapa... 'Mwanaume anatongoza msichana na akikubaliwa, wanaanzisha mahusiano ambapo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Za kazi wadau. Maisha yanahitaji fedha sana kuyaendesha.Ila wasichana mmekua na tamaa na kuweka wazi shida zenu mapema zaidi. Kamati kuu kama tulivyokubaliana, hakuna kuwaoa watu wa dizaini hii...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Sitosahau mapenzi yalivyonilaza polisi. Hivi ushawahi kupiga, kupigwa au hata kulazwa polisi kisa mapenzi? Leo naomba tutoe uzoefu wetu katika kuyatafuta mapenzi umepitia mikasa gani ambayo kwako...
35 Reactions
306 Replies
38K Views
Ushawahi kutoka deti na mwanamke halafu ukafikia mahali katika chat yenu unaishiwa na maneno ya kuongea? Ama umeagana na mwanamke mtoke deti siku ya pili halafu umekuwa ukikesha siku nzima...
4 Reactions
83 Replies
27K Views
Bila kupoteza muda kama kichwa cha habari kinavyosema ulianzaje kujipanga na maisha kabla ya kuingia kwenye ndoa ukiwa katika kipindi cha uchumba. Hebu tupeane mawazo wenzetu mliioowa mlianzaje...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Hii kauli imenishutua, ni kauli kutoka kwa rafiki yangu ninayemfahamu kwa muda mrefu. Ndoa yao ina miaka 5 sasa na wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike, kwa haraka haraka unaweza kuiona ndoa...
23 Reactions
226 Replies
26K Views
Tumezaliwa watoto watano kwa mama na watoto 9 kwa baba.Mimi ni mtoto wa tatu kwa mama na ni mtoto wa tano kwa baba. Mimi nina bahati kubwa kwamba nimefanikiwa mapema kwa upande wa elimu na upande...
23 Reactions
112 Replies
12K Views
Hivi juzi kati nikiwa nimechill geto mida ya jioni nilimuona Shem wangu (Kwa bahat mbaya) akiwa kwenye harakati za kutoka kuoga..(kanga ilidondoka) . Ila yy hajaniona... Oooh nikafanikiwa kuona...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari. Moja kwa Moja kwenye mada. Mabraza mliotangulia kuoa, ni ushauri gani mfupi mnaweza kutupatia sisi ambao tunatazamia kuoa hivi karibuni? Vitu kama umri wa kuoa, kushare mishahara...
12 Reactions
109 Replies
9K Views
  • Closed
Wasalaam, Watanzania wenzangu nakuja mbele yenu kwa ajili ya ombi hili la kumkuwadia (lobbying) kwa ajili ya huyu staff mwenzangu. Walioko mtandaoni ni wale wale walioko huko mtaani. Sifa za...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Back
Top Bottom