Je, ulishawahi kupiga, kupigwa au kugombana kwa ajili ya mapenzi? Tukutane hapa

Ligaba

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
1,045
2,821
Sitosahau mapenzi yalivyonilaza polisi.

Hivi ushawahi kupiga, kupigwa au hata kulazwa polisi kisa mapenzi? Leo naomba tutoe uzoefu wetu katika kuyatafuta mapenzi umepitia mikasa gani ambayo kwako huwezi kuisahau.

Binafsi nimepitia changamoto za hapa na pale ambazo leo huwa zinanichekesha, zinanishangaza na hata kuna wakati nabaki kucheka tu nisijue kwa nini ilikuwa hivi.

Kisa cha kwanza ilikuwa kama nina miaka 21 hivi nilianza kujihusisa kimapenzi na katoto kaform three mbali kidogo na mtaa ninaoishi. Mapenzi yale yalituchanganya wote wawili tukawa na mapenzi ya kifilipino uwezi amini hata barabarani hatuoni aibu japo ni mwanafunzi.

Mbaya zaidi dingi wa yule binti alikuwa msela tu hawa wanaowahi kuzaa wangali watoto. Huyo father alikuwa anafanya biashara ya vitanda anatoa Rufiji na Kilwa analeta town hivyo alikuwa mtu wa kusafiri sana.

Nikawa sioni aibu siku nyingine naenda kula tunda mpaka nyumbani kwao pale raia wengine kwao wakiwa nao hawapo. Mother alikuwa hana shida sana kama muwajuavyo. Sasa habari zikamfikia dingi kijana akaanza kunitega.

Kwanza aliniita na kunikanya nimuache mtoto wake asome, Mimi nikamkatalia na kumpuuza. Akapanga kunifanyia mtego wa kunipa kesi ya ubakaji nikashtukia nikawa siendi tena kwao. Chenzo likaanza kuna siku tuliingia lodge na huyo binti, kumbe kuna watu walikuwa wanatufuatilia na wakamtonya mzee wake.

Ule mtaa ulikuwa una lodge kama tatu hivi zipo distance kidogo. Kwa hiyo waliompa taarifa dingi hawakuwa na uhakika kuwa tuliingia ipi kati ya zile.

Kama mjuavyo mapenzi ya mwanafunzi ni ya wizi muda mchache unatakiwa uwe ushamaliza mchezo ukiwa ndani, ndivyo nami nilifanya kwani aliniambia ametoroka tu kwao na hakuwa na sababu za kudanganya kutoka. Huwezi amini dakika 45 lodge zilinitosha kumaliza genye.

Huku nikiwa lodge mzee nae kapanga timu yake ila hawana uhakika ni wapi? Kabla hawajaanza msako wako wanajadiliana kuna kijana mmoja bodaboda ananifahamu na rafiki yangu kwa mbali na anafahamu issue yangu na yule father alipita sehemu akasikia tetesi ya uvamizi ule na akanishtua kwa simu kama niko na binti nijichenge faster.

Aisee nilivaa haraka shati vifungo vimepishana na sawa na brother K, na nilikuja kugundua niko polisi. Tulipotoka pale lodge tulitembea kama mita 20 ili niachane na yule binti, kumbe njia tulipopita ndio huyu father alikuwa anapanga timu yake, aliponikuta tu na yule binti akajua kafail ila akaniita njooni kwanza.

Kumkaribia hakulaza damu nilipewa kofi la uso, nikaona cheche, sijatulia mtama nikaenda chini, nikajifanya nimezimia ili wakianza kuogopa nitoke nduki, hakujali teke la mbavu nikaona hapa leo nakufa.

Nikainuka nikajifanya nataka nijitete kurusha ngumi wale raia wengine kama watatu wakanidhibiti. Wakaanza maswali mmetoka wapi? Binti analia baba mbona unataka umuue huyo kijana bila sababu?

Wakati huo mimi nimeshatiwa nguvuni siwezi hata kuongea mdomo unatetemeka na uvimbe juu. Wakasema tumpeleke polisi tuseme tumemfuma anambaka huyu binti.

Wakamfundisha yule binti ukifika polisi kubali alikuwa anataka kukubaka. Hao mpaka polisi, kufika nikawekwa ndani kama dakika 30. Huku polisi wakaanza kumhoji yule binti ni kweli? Huwezi amini binti kamruka mzee wake kwanza kasema yule sio baba yake na huyo kijana walimkuta tu njiani.

Kumuuliza baba kafura, akataka mwanawe aweke sahihi kuwa yeye sio baba yake, binti kaweka. Nikaachiwa nikageuza kibao kuwa wamenijeruhi na nasikia maumivu makali naomba PF3 niende kutibiwa. Nikapewa kufika hospital nikampanga dokta.

Nikafanywa kama nimetibiwa na nina uvimbe ndani, uliotokana na kipigo.

Mzee wangu nae akasimamia kucha tukafungua kesi shambulio la kudhuru mwili. Kesi tukamaliza njee. Mahakama mkwe wangu akanilipa 800,000/=. Laki tatu nikampa yule binti kwa ustering wake, tano nikapoza maumivu.

Yule binti hakutukuacha mpaka nikaja mzalisha mtoto na hadi leo yule father tunaheshimiana na tunaitana mkwe bhasi.

Tangu issue ile niliamini mwanamke akipenda yupo tayari kufanya lolote kwako.
 
Kuna demu ambaye miaka nenda rudi tuna gombana tuna patana kuna siku akaji changanya aka chukua simu yangu akaondoka nayo niki mcall ana pokea ana sema ana angalia kama kuna michepuko nika ona huu useng nili mfata kwao Mbagala kizuiani nikampa vibao kama kumi na tano hivi ali umuka mdomo atu kuongea kama wiki tatu
 
Kuna demu ambaye miaka nenda rudi tuna gombana tuna patana kuna siku akaji changanya aka chukua simu yangu akaondoka nayo niki mcall ana pokea ana sema ana angalia kama kuna michepuko nika ona huu useng nili mfata kwao Mbagala kizuiani nikampa vibao kama kumi na tano hivi ali umuka mdomo atu kuongea kama wiki tatu
Vipi muliachana thereafter?
 
Kipindi nikiwa chalii nimemaliza chuo nimerudi home kupumzika na michakato ya kutafuta kazi hapa na pale, Kuna demu sikuwa hata na malengo nae, wa mtaa wa jirani tu nilimtamani maumbile yake, baada ya kumla kwa muda kama miezi mitatu nikampiga chini bila kujua kuwa yeye alikuwa amekolea haswaa. Alienda jitambulisha mwenyewe kwa mama yangu, yule mwanamke alikuwa jasiri sijapata ona....alipoona mama haeleweki akaanza tafuta na namna ya kumuingia dingi aiseee....ilikuwa aibu patashika hapo
 
Kipindi nikiwa chalii nimemaliza chuo nimerudi home kupumzika na michakato ya kutafuta kazi hapa na pale, Kuna demu sikuwa hata na malengo nae, wa mtaa wa jirani tu nilimtamani maumbile yake, baada ya kumla kwa muda kama miezi mitatu nikampiga chini bila kujua kuwa yeye alikuwa amekolea haswaa. Alienda jitambulisha mwenyewe kwa mama yangu, yule mwanamke alikuwa jasiri sijapata ona....alipoona mama haeleweki akaanza tafuta na namna ya kumuingia dingi aiseee....ilikuwa aibu patashika hapo
Huyo alikuwa zaidi ya baraa, hata ilishanitokea kuna yeye tulikuwa mbali na familia akachukua simu yangu akaangalia kila akisikia nimeongea ndugu yangu anachukua namba anasave kwake. Kushtuka namba zote za ndugu zangu anazo na anawapigia kuwajulisha kuwa yeye ni mke wangu.
 
Back
Top Bottom