Unawezaje kutatua changamoto ya binti uliyempa mimba wakati maisha yako hayaeleweki?

Wakuu naombeni ushauli ivi ikitokea kuna binti umempa ujauzito na maisha yako hayaeleweki nikiwa nina maana kimaisha bado haujasimama vizuli unawezaje kutatua Aina hii ya changamoto katika njia bora na kidiplimaasia

Mbona rahisi tu kubali mimba lea hadi miezi 7,mwambie kuna biashara unaenda kuangalia sehemu panda basi tokomea pasipojulikana rudi baada ya miaka 7 na samahani kibao halafu unaendelea kulea mwanao pale alipoishia,za kuambiwa changamoto na zako fala wewe
 
Sijaona aliyekukashfu. Duu acha na mimi nikushauri tu, nisitoe majibu ya kukukanda.

Usipaniki wewe ishi maisha yako kawaida, Manzi aishi alipokua siku zote hata akitaka kwenda sehemu nyingine wewe kubali, pa kuishi liwe swala lake.

Na pia ukiweza, hudumia, ukishindwa haya, yote mipango ya Mungu.
Akikupa stress sana na asikii huyo mama kijacho chapa block
 
Ungeanza kuomba ushauri kabla haujaamua kula mbichi.
Pambana na matokeo hayo ndio uanaume huo.
 
Wakuu naombeni ushauli ivi ikitokea kuna binti umempa ujauzito na maisha yako hayaeleweki nikiwa nina maana kimaisha bado haujasimama vizuli unawezaje kutatua Aina hii ya changamoto katika njia bora na kidiplimaasia
Pambane naye afe kipa afe beki mpaka kitaeleweka.
Kuna mambo mengine uwa ni magumu kabla hujayavulia nguo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom