lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,160
Praise The Lord!
It is tradition kila mwaka siku ya mwanamke duniani lazima nitoe my 2 cents humu Jf, and this year hatutovunja that tradition.
Kwanza natoa shout out kwa CRDB bank siku yaleo tarehe 7, wamemuenzi mwanamke kwa wanawake wote hatujakaaa foleni. Kwenu wanaume kitakuwa kitu kidogo ila kwa sisi wanawake ambao tunajua uchungu wa kunyanyaswa kijinsia ni kitu kikubwa sanaa kuheshimiwa, na kuenziwa na bank yetu, bank mama la mama, bank la uhakika CRDB. Nimependaaaa sanaa ukizingatia kesho nasafiri, leo mwanamke mwenye mdomo mdomo mmenienzi. Mbarikiwe sanaaa. Na dada yangu Magilwa wa Azikiwe Branch na mlinzi wa kike jina sikukupata mwaka huu msipopewa bonus kwa huduma nzuri mje kwangu kushtaki nami nitawaombea kwa Mungu wangu awateteee. Wanawake Oyeeeeee. Mtu mwanamke.
Sitorudia kwa mapana jinsi gani wanawake tunanyanyasika sababu hilo liko wazi, mara ya mwisho kumnunulia mkeo kitu lini? Pigia jibu mstari. Rudia mada zangu za nyuma ndo utajua jinsi gani wanawake tunanyanyasikaaa.
Kwanza siku hizi mjini hakuna ride or die men, kabisaaa. Wanaume siku hizi ni ujanja ujanja mwingiiii tu. Haki nakwambia MEN CAN NO LONGER HANDLE THE TRUTH. Wanapenda kudanganywa danganywaa na kuambiwa mambo mazuri mazuri.
story imepotea waliosoma jana wamefaidi