Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nakumbuka miaka 6 nyuma kuna binti niliwahi kumpenda sana sasa katika mahusiano tulifikia kile kipindi kile mahusiano yapo too toxic kila nikijitahidi kuliokoa penzi kuliokoa tusiachane lakini...
24 Reactions
144 Replies
19K Views
Habari wana jamvi! Kwangu mimi binafsi hili swala la kuweza kufunguka mahusiano ya kiundani ya madem zangu naowagonga kwa shangazi au mama mdogo ni ngumu sana. Siku za hivi karibuni nilienda...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Wana JF, jana nikiwa pande za Beach na madada nikawasikia wanasema eti MAPENZI yanauma, sasa kila nikifikiria sipati jibu. Haya mapenzi yanauma vipi. Kwakua nilishawai kuumwa jino basi haraka...
1 Reactions
60 Replies
19K Views
Habari wakuu Kuna binti mmoja tulikua kwenye mahusiano kwa takribani mwaka na visehemu,bahati mbaya sana tukaachana tar1/3 mwaka huu na tukatakiana maisha mema fresh fresh. Sasa cha ajabu...
3 Reactions
83 Replies
10K Views
KWA NINI NI RAHISI MWANAMKE KUGUNDULIKA ATOKAPO NJE YA NDOA? Hakika mwanamke ni rahisi sana kugundulika endapo anatoka nje ya ndoa, kwa sababu Mwenyezi Mungu amemuumba mwanamke aishi na mwanamme...
19 Reactions
46 Replies
10K Views
Ni jana tu tulikuwa tunazungumza na Mtu akanieleza namna ambavyo Dada yake alivyopambana na maisha mpaka kufikia kujijenga kiuchumi, aliweza kujijengea vyumba vyake viwili vya kuishi na biashara...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wajameni kati ya kitu ninachoogopa ni kubadili dini niwe muislamu. Na ndoa yao imefunguliwa. Ipo kirahisi sana. Unaolewa leo kwa gharama kubwa akimaliza haja zake anakupa talaka tatu. Hapo...
3 Reactions
75 Replies
8K Views
Habari wakuu, As usual, Nzi Chuma sidhuriwi na uvundo. Siku nyingi sana, nimewamis!. Naomba niwape kisa cha kweli cha kufungua huu mwaka 2021, maana tangu uanze sijaanzisha thread. Miaka kadhaa...
10 Reactions
68 Replies
15K Views
Wakuu mimi ninavyofahamu ni kwamba ndoa ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke ya kuwa mume na mke. Lakini makubaliano haya yawe yamedhibitishwa eidha na watumishi wa Mungu au viongozi wa kimila...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Hello wana MMU. Ujana bwana una mambo mengi mengine ya kitoto kabisa. Umeshawahi kusikia kuhusu Skin Surgery au Plastic Surgery? Wakati tunaingia ujanani wengine tulikuwa tunakebehi wadada wetu...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wana JF, Kumekuwa na tafsiri nyingi tofauti juu ya kupendwa, hebu kama wewe ni mwanaume au mwanadada tuelezane ni mambo gani yanaweza kukuhakikishia kwamba unapendwa kwa dhati na mwenza au...
4 Reactions
123 Replies
16K Views
Utamaduni wa wenzetu walioendelea huwa mtu akitoka out na mpenziwe mwanamke ndiye anaclear bill lakini kwa nchi zetu za kibongo ukimtoa mwanamke out atafanya kukukomoa aagize vitu vya gharama...
8 Reactions
53 Replies
7K Views
Natafuta mwanamke wa kuoa umri usizidi miaka arobaini. Mimi nina miaka 38 ni muislamu ila asiwe na mtoto na awe muamiminifu, subira Heshima uvumilivu Namba 0782210033
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajanvi kwema? Ninaleta kwenu stori ya kweli ya mkasa uliyonikumba mimi mwenyewe hivi karibuni. Miezi minne iliyopita nilikuwa safarini kutokea Singida Kuja Dar, nikiwa stend Singida nilipanda...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Screenshot itasaidia ujumbe wangu kueleweka kwa wepesi. Hii ni kero yangu kubwa tu. Mapenzi motomoto upeleke kwingine halafu bajeti upeleke kwingine. Hii sio sawa. Mimi kwenye hili huwa sitaki...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna faida na hasara gani kuoa mwanamke aliyezaa na wanaume wawili tofauti mimi nikimuoa nitakuwa mwanaume wa tatu na nikizaa nae atakuwa amezaa watoto wa Tatu kwa baba watatu. Je hii...
2 Reactions
50 Replies
10K Views
Nawasalimia Wana jf wote nikitumai mu wazima na weekend hii tulivu. Mimi ni member mpya katika jukwaa hili kwa kuandika na kuchangia maada lakini nimeanza kuichungulia Jamii forum tangu mwaka...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mapenzi ukitaka kuyapima basi angalia tu kuhusu mabaya kama unaweza/anaweza kuyabeba na kuyavumilia. Asili yetu binadamu tumeumbwa na mambo mazuri na kupenda mazuri,hivyo mtu akikupenda kwa...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Katika utafiti kidogo nilioufanya nimeweza kugundua mengi kuhusu uvaaji wa pete hususani ya ndoa au ya uchumba kwenye...
0 Reactions
17 Replies
25K Views
Nilikuwa nakaa jirani na washkaji fulani hivi wawili 2 wa kishua. Ilikuwa nipate mteremko wa kiungia state "United of America" kwenye intership kupitia mgongo wa washkaji zangu wa kishua ambao...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…