Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

KATIKA uhusiano wa kimapenzi hakuna kosa kubwa kwa wanaume kama kutojiamini na mbaya zaidi kutomwamini mwenza wake. Kumekuwa na dhana kuwa tatizo la wivu lipo sana kwa wanawake kuliko wanaume...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu naombeni ushauri shem/wifi yenu wkt nashughulika anapiga kelele weee then ananing'ata kifuani au mkono au vidole hata mguuni inategemea position niliyopo wkt tunajipa raha basi inafika...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Mm ni kijana(wakiume) miaka 25 nipo dar es salaam mfanya biashara Naitaj binti mkwer asizidi miaka 29 awe serious sabab sipo apa kupotza mda mimi ni muislam ila dini schagui tutaongea mm na yeye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A friend of mine gave me a scenario. It was a simple question but I personally haven't found the answer yet. It goes like this. If you were in a scenario where you were torn between choosing the...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
RIP Fredwaaa. Nalaani kitendo alichafanyiwa mke wangu mpendwa siku ya harussi yetu. Siku ya harusi mke wangu na mimi tukiwa ukumbini tulishtuka kuona mtu akichukua mic na kuanza kumdai waifu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za usiku wanajamvi, poleni na pilika za kutafuta ugali.Basi bwana baada ya kutishwa na bi mkubwa kuhusu mumewe,mie nikarudi daslam baada ya mishe zangu mkoa kukamilika. Siku nafika jamaa...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wanaJF. Kuna mtu katika watu amepatwa kuulizwa swali kama hili na mwanawe wa darasa la nne "Baba mbona akili yako na yangu hatufanani, una uhakika kwamba mimi ni mwanao kweli? Hii...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Sijui Wana tamaa, ukipendeza wanajileta, Sura mbaya imekomaa utawapata ukiwa na pesa. Ukimfata na gari hata kama la kuazima, ujue amekwisha huyo. Akikupa namba we tuma salio, mwambie njoo gheto...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamaa huyo maarufu kwa jina la Zungu ameuliwa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake huyo kwa jina la Neema. Tukio limetajwa kutokea huko Mbezi Makabe, Dar jana usiku. Sababu inadaiwa ni jamaa...
6 Reactions
95 Replies
11K Views
Jamaa alikuwa na tabia akitoka kazini jioni anapitia bar anaopoa malaya anakula mzigo upesi anarudi nyumbani. Kutokana na kuwahi kwake nyumbani mke akajenga imani nae. Siku ya tukio, jamaa kama...
14 Reactions
65 Replies
9K Views
Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada. Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana...
14 Reactions
262 Replies
24K Views
Habari wakuu, Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila...
21 Reactions
166 Replies
22K Views
Naomba Unipostie Nimechanganyikiwa vibaya mnooo Nilihama Mkoa kikazi Hivyo Nikaingia Kwenye Mahusiano Na Mwanaume Mmoja hivi Aliniambia anatoka mkoa naotoka Lakini yeye Amekaa huku dar Toka mdogo...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Nilikutana na mdada mmoja wa kiha shuleni advance alikuwa na sauti nzuri sn niliipenda pia alikuwa na rangi matata black beauty umbo la kitusi. Nilimpenda japo tulipotezana maana alihama shule...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau heri ya mwaka mpya, Wife amekuwa hapendi kuongozana nami katika safari mbali mbali misiba, sherehe, outing na kadhalika, sio kwamba anakataa moja kwa moja bali atatafuta sababu ili twende...
13 Reactions
241 Replies
32K Views
Yani ukimuangalia humamlizi, kila kilichochake unakiona kizuri, unamuona ni mrembo kuliko wote, tatizo ni kua hizi hisia hazidumu kwa muda mrefu, i wish it could be that, life would be so wonderful.
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Maisha baada ya kuachana yanategemeana na mtazamo wako wewe. Kama ukiutumia muda huo kujijenga kama kujifunza lugha mpya, kwenda kutalii (kama una akiba) kuanzisha ratiba ya mazoezi, kujiendeleza...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Asalaam, Bila kupoteza mda, mimi na mke wangu tuna miaka kadhaa kwenye ndoa ila alhmdulillah ndoa imejaa mazuri meeeengi. ila ya leo kiboko... Tulipishana mida ya kuingia kazni yy aliingia usiku...
29 Reactions
81 Replies
17K Views
Kiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti...
8 Reactions
118 Replies
12K Views
Habarini wote! Nafikiria tu wakuu japo mimi siyo mlengwa hasa hasa ninachofikiria japo ipo haja ya kufahamu duniani kuzaliwa ni bahati na kama utayapatia mapenzi na mwenza wako hakikisha sana...
4 Reactions
133 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…