Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi binafsi na roho yangu na Wivu wangu nimekataa, Kwanza hata mkataba wangu na yeye hausemi hivyo..... na kuna vitu vingi hatufanya hiyo pesa ya kugawa kwa mwanamke mwingine inatoka wapi😅😅😆😆😆...
6 Reactions
63 Replies
5K Views
Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU...
27 Reactions
92 Replies
9K Views
Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!” kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana. Funzo: 1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi...
13 Reactions
324 Replies
27K Views
Nilifikiri mtu akiwa Ana mashine kubwa basi wanawake watamkimbilia na hawawezi kumuacha Wala kumuv on, Sasa jomba nchumali kila sehemu anakula kibuti, Wolipa, Salah, Kajara, Lina, Sasa Haina faida...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Andiko hili ni mjadala wa wakubwa kama upo chini ya miaka 18 tafuta andiko linalokufaa. Pesa ni nzuri ila ngono ni tamu. Mimi Baba Morgan ni miongoni mwa wachache tunaoamini kuwa video za ngono...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wana jukwaa! Binti mmoja alimuaga mama yake anaenda kutembelea maeneo ya kihistoria na marafiki zake. Mama yake alimjibu "safari njema mwanangu na Mungu awe nanyi" Mtoto alimjibu mama...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Pesa isiwe kigezo cha kumpenda mwanaume mnafeli sana hapa!! Asilimia 100 ya wanaume wote duniani washajua MWANAMKE ILI UMPATE MPE PESA sasa hapa wanachokifanya wanawapa pesa na kwa sababu baadhi...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Ni hivi wanajamvi lives come and go hivyo tuishi kwa upendo hapa duniani na tukumbuke moyo wa mtu ni kichaka. Uzi tayari wakuu wa kaya.
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Mwaka 2010 niliingia katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja mwanafunzi wa kidato cha 5. Tulidumu kwa muda mrefu sana kwani alikua akisoma jitegemee sec school nilikua nikimuhudumia vitu...
16 Reactions
119 Replies
13K Views
  • Closed
Wakuu leo nimekutana na mtoto mzuri nikaona usiwe taabu acha niongeo naye kdgo hata namba niombe ikiwezekana nitupie maneno yangu siku zijazo. Duuh nimeongea naye vzr kabsa bila tabu sasa...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
NIMEPOTEZA KIBARUA Binafsi sikuwa muajiriwa serikalini, lakini nilikuwa kibarua katika kampuni flani. Hii ni sehemu ambayo imenilea kwa muda mrefu kiasi kisichopungua miaka mitatu. Hii ndio...
8 Reactions
40 Replies
5K Views
Mimi tokea nipate akili nmewahi kuwa ktk relationships 2 tu hii ya sasa hv ni ya pili. Lakn ktk hizi relationship sijawahi kufurahia sex, kwangu mimi sex sio starehe km wengine. Huwa nafurahia sex...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Vitu ambavyo siwezi kuja kuvifanya hata nipende vipi. Vitu hivi vikitokea bora kla mtu aende upande wke tu na wala sitojiuliza mara mbili ni kuachana tu. 1. Kua against na familia yngu. Hta...
6 Reactions
94 Replies
8K Views
Liverpool VPN ameanzisha uzi huu Sasa mnaoa ili iwaje? Hebu angalia hii familia kimsingi ameonyesha kwamba kwa kuwatazama wenza aliowaelezea hakuna haja ya ndoa. Anashare msimamo na watu...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Wazazi wetu ni watu muhimu sana ambao hakuna ambae aliwaomba wamlete hapa duniani,kila mmoja alikuja duniani kwa sababu wazazi wake walitamani mtoto hivyo tumekuja duniani kwa mapenzi ya wazazi na...
2 Reactions
0 Replies
954 Views
Hivi inakuaje mzazi unamchagulia mwanao wa kiume mke wa kumuoa au mwanao wa kike mume wa kuolewa naye. Kama wamependana kwanini msiwaache waende kuishi kwa Amani na taratibu zote na kanuni...
0 Reactions
3 Replies
744 Views
Kwa tamaduni zetu za Afrika hususani Tanzania ukweni (kwa wazazi wa mke/mme) ni sehemu inayoheshimika sana kwenda ukweni hakuhitaji kukurupuka lazima ujiandae kuanzia muonekano, unachoongea na...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Kwasababu jambo hili limekuwa fashion huku mtaani, hawa madada zetu bila kufanyiwa hii kitu hawaridhiki kabisa. Kwa hiyo natoa ushauri kwa wataalamu wa afya kubuni kondomu salama ya kuvaa mdomoni...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Teknolojia imekuja na mambo mengi. Sasa hivi kila mwanamama anataka amiliki simujanja. Na akishamiliki simujanja basi anajiona ana kila kitu. Siku hizi wamebakiza kupakua picha za ngono na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom