Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

ndegemzungu

Member
Mar 10, 2019
92
240
Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada.

Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana.

Mimi nilijitolea kumsaidia kwa kiasi kikubwa sana huyu binti si kama binadamu mwenzangu na kiukweli niliplay part kubwa sana kumfanya awe sawa i thank God now yupo sawa.

Sasa tatizo limeanza mwishoni mwa mwaka jana analazimisha sana awe na mimi kimapenzi kama njia moja wapo ya kurudisha fadhila kwa wema niliomtendea na anajua kabisa nimeoa lakini mie nimemwambia haina haja ya kufanya ivyo coz me nilimsaidia kwa nia njema tu na si kwa lengo tofauti.

Hataki kunielewa ananisumbua mno nimemblock kwenye kila sehemu lakini bado ananisumbua coz tunaonana kila siku ofisini.

Wanawake sio kila mtu anaekusaidia anahitaji umpe penzi sote.

1626086515177.png
 
Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe.
Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee
Mwanamke ambae anasaidiwa kisha akaamua atoe uchi100% hajiamini na pia ana tabia mbaya maana ataliwa sana.hongera kwako
 
Hata sielewi shida ipo wapi!
Umesaidia mtu bure buresi
Baada ya muda anakulipa
Ndio! Analipia wema wako
Tena malipo ni mwili wake
We kwa UKENGE unakataa
Waumiza viumbe wa Mungu
Hebu vaa uhalisia wake bro
Halafu rudi jukwaani hapa

Bazazi!
 
Back
Top Bottom