Ingekuwa wewe ungejibu vipi? Una ushauri gani kwa mwana

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,442
3,404
Habari wanaJF.

Kuna mtu katika watu amepatwa kuulizwa swali kama hili na mwanawe wa darasa la nne

"Baba mbona akili yako na yangu hatufanani, una uhakika kwamba mimi ni mwanao kweli? Hii ilitokea baada mwana jana yake night alirudi home akiwa tungi na home kuzuka sitofahamu ya malumbano ya hapa na pale na wife.

Yeye kama yeye hajamjibu dogo, je ikiwa imekutokea wewe utamjibu vipi dogo, au tunamshauri vipi mwana...........

african-drunk-man-fall-asleep-in-pub-vector-5029905.jpg
 
Habari wanajf.

Kuna mtu katika watu amepatwa kuulizwa swali kama hili na mwanawe wa darasa la nne

"Baba mbona akili yako na yangu hatufanani, una uhakika kwamba mimi ni mwanao kweli?

Hii ilitokea baada mwana jana yake night alirud home akiwa tungi na home kuzuka sitofaham ya malumbano ya hapa na pale na wife

Yeye kama yeye hajamjibu dogo, je ikiwa imekutokea ww utamjibu vp dogo, au tunamshauri vp mwana...........View attachment 1859358

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo dogo amemuuliza mshikaji swali kimtego sana.

Sio ajabu mama yake ameshaanza kumuambia dogo kwamba huyo si baba yake halisi. Kwamba ndiyo maana mzee analewa huku dogo akiwa mstaarabu.

Swali hilo limfikirishe aanze kudadisi haswa kama ni mwanae ama alishikishwa.

Kama ni mwanae basi mdingi abadilike. Kama hawezi kupunguza kulewa kupita kiasi basi achelewe kurudi nyumbani. Afike wakati watoto wameshalala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom