Wababa/wakaka tusitelekeze watoto so sad

miss_mbeya

JF-Expert Member
Mar 24, 2015
1,022
2,000
Naomba Unipostie Nimechanganyikiwa vibaya mnooo

Nilihama Mkoa kikazi Hivyo Nikaingia Kwenye Mahusiano Na Mwanaume Mmoja hivi Aliniambia anatoka mkoa naotoka Lakini yeye Amekaa huku dar Toka mdogo Sana Pindi tu mama yake alipoachana na baba yake..

Naomba Mnielewe Hivi viatu so size Yangu. Basi Tumekaa Kwenye Mahusiano takribani mwaka na nusu na Sasahivi Mimi Ni mjamzito wa miezi 7 Jamani huyu mwanaume alinitambulisha kwa ndugu zake Na kwa mama

Sasa mama yake akasema anamuambia Sasa mchumba wangu "So vizuri uoe Bila baba yako Kujua we kamtambulishe mkeo kwa baba pia huko Tabora itakuwa vizuri usiegemee kwangu tu unae mzazi wapili

Basi Tukaanza safari juzi tumefika Tabora tukaishia geust Asubuhi ya Jana Tukaanza safari kwenda kwao njiani nikashangaa mbona unaenda kwetu?? Akawa ananambia niache mawenge Basi nikatulia Hamuwezi Amini Ni kwetu tulienda nilishtuka Sana ila nikajua kanisuprise kwetu kwanza

Yaani nimechoka tuliingia tukakaribishwa na baba na mama yangu mzazi Sasa ndio alikuwepo mama aliponiona akasema mwanangu umekuja na Zawadi kabisa ila vizuri umekuja na mmeo Baba akasema mme wake kivipi huyo mwanangu nilishtuka Jamani ninyi nae huyu mwanaume anasema inakuwajee hi baba huyu mwanao????

Baba akasema ndio baada yakuzaliwa wewe nikaoa nandiye binti wakwanza uyu kwahio uyu dada ako

Oh jamani nililegea mwili na roho. Yamekuwa haya Tena nimekosea wapi Mimi. Aibu nitaificha wapi????? Nilihisi kuumwa uchungu baba akauliza kwani Kuna Nini? Mme wang akasema huyu Ni mchumba wangu nimekuja kumtambulisha alafu mnanipa stor zingine ?? Na ujauzito alionao Ni wakwangu Daah baba mama walichokaaa so mchezo.....

Pamoja na hayo nimeshindwa kukaa nyumbani kesho naondoka sitaki kabisa kukaa hapa nyumbani Naumia Sana na huyu mwanaume anasema lolote lile lazima anioe Namimi nampenda Jamani

Siwezi kutoa Mimi sitakii Jamani Naomba tu mnishauri ndugu zangu ushauri wenu nitaleta
 
Kwisense

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
472
1,000
Hii stori nimewahi kuambiwa miaka ya 2010's kipindi naingia chuoni, hivyo siyo ngeni masikioni mwetu
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
6,202
2,000
Nikisoma kichwa cha mada yako najua wewe ni mbaba siyo mwanamama. Uzuri wa JF ndio huo akina baba wanajiita Beatrice Kamugisha. Akina mama wanajiita sexless.
Naomba Unipostie Nimechanganyikiwa vibaya mnooo

Nilihama Mkoa kikazi Hivyo Nikaingia Kwenye Mahusiano Na Mwanaume Mmoja hivi Aliniambia anatoka mkoa naotoka Lakini yeye Amekaa huku dar Toka mdogo Sana Pindi tu mama yake alipoachana na baba yake..

Naomba Mnielewe Hivi viatu so size Yangu. Basi Tumekaa Kwenye Mahusiano takribani mwaka na nusu na Sasahivi Mimi Ni mjamzito wa miezi 7 Jamani huyu mwanaume alinitambulisha kwa ndugu zake Na kwa mama

Sasa mama yake akasema anamuambia Sasa mchumba wangu "So vizuri uoe Bila baba yako Kujua we kamtambulishe mkeo kwa baba pia huko Tabora itakuwa vizuri usiegemee kwangu tu unae mzazi wapili

Basi Tukaanza safari juzi tumefika Tabora tukaishia geust Asubuhi ya Jana Tukaanza safari kwenda kwao njiani nikashangaa mbona unaenda kwetu?? Akawa ananambia niache mawenge Basi nikatulia Hamuwezi Amini Ni kwetu tulienda nilishtuka Sana ila nikajua kanisuprise kwetu kwanza

Yaani nimechoka tuliingia tukakaribishwa na baba na mama yangu mzazi Sasa ndio alikuwepo mama aliponiona akasema mwanangu umekuja na Zawadi kabisa ila vizuri umekuja na mmeo Baba akasema mme wake kivipi huyo mwanangu nilishtuka Jamani ninyi nae huyu mwanaume anasema inakuwajee hi baba huyu mwanao????

Baba akasema ndio baada yakuzaliwa wewe nikaoa nandiye binti wakwanza uyu kwahio uyu dada ako

Oh jamani nililegea mwili na roho. Yamekuwa haya Tena nimekosea wapi Mimi. Aibu nitaificha wapi????? Nilihisi kuumwa uchungu baba akauliza kwani Kuna Nini? Mme wang akasema huyu Ni mchumba wangu nimekuja kumtambulisha alafu mnanipa stor zingine ?? Na ujauzito alionao Ni wakwangu Daah baba mama walichokaaa so mchezo.....

Pamoja na hayo nimeshindwa kukaa nyumbani kesho naondoka sitaki kabisa kukaa hapa nyumbani Naumia Sana na huyu mwanaume anasema lolote lile lazima anioe Namimi nampenda Jamani

Siwezi kutoa Mimi sitakii Jamani Naomba tu mnishauri ndugu zangu ushauri wenu nitaleta
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
6,202
2,000
Ukioa ama kuolewa na mzungu na wengine wa rangi nyingine, kosa kama hilo ni impossible. Siku nyingine jaribu rangi nyingine.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom