Who would you choose?

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
A friend of mine gave me a scenario. It was a simple question but I personally haven't found the answer yet. It goes like this. If you were in a scenario where you were torn between choosing the one you love and the one that loves you....who would you choose? Keep in mind you love one very much and the other one loves you very much(And no you are not married to any of them).
 
Anaekupenda atakuwa na heshima na humble zaidi ..raha sana kupendwa!

Ila je anakupenda- na wewe umempenda?
 
Anaekupenda atakuwa na heshima na humble zaidi ..raha sana kupendwa!

Ila je anakupenda- na wewe umempenda?

Hapo tatizo unaweza chagua anayekupenda wakati huna feelings zozote kwake ukaishia kumridhisha yeye tu, Na unaweza kumchagua unayempenda wewe na yeye pia akawa hana feelings zozote kwako. Ila kwa mtazamo wangu naona bora kuheshimu hisia zako, kumchagua yule unayempenda.
 
Hata kama hauna uhakika wa kuwa yule unayempenda wewe na yeye anakupenda ni vema ukachagua yule unayempenda.
 
Love must be from both sides(to love and be loved).Kuna unayempenda kama yeye hakupendi ni kazi bure,na huyo mwingine anakupenda kama wewe haumpendi ni kupoteza wakati pia.
Kama hakuna upendo unaotoka both sides achana nao wote,tafuta MNAYEPENDANA.
Otherwise umchague anayekupenda na ukae ukijua wazi lazima utalipa gharama ya kujifunza kumpenda.
 
A friend of mine gave me a scenario. It was a simple question but I personally haven't found the answer yet. It goes like this. If you were in a scenario where you were torn between choosing the one you love and the one that loves you....who would you choose? Keep in mind you love one very much and the other one loves you very much(And no you are not married to any of them).
i would go for the one thet loves me bwana!it will be easier for me to shift all of my feelings to her.
 
Mimi jibu langu ni kuingia mitini badala ya kutaka kulazimisha penzi ambalo halipo na labda halitakuwepo. Unaweza kumchagua huyo anayekupenda lakini wewe humpendi na baada ya muda ukaona kwamba unapoteza muda wako tu kwa sababu kamwe hutaweza kumpenda na huyo asiyekupenda naye anaweza asikupende kamwe na kwa mara nyingine kupoteza muda wako katika kutak a kulazimisha penzi lisilokuwepo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom