manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 679
Mimi nimechoka na hali ya wife yaani ana mimba ya miezi 2 now. Yani nyumba imekua kero mara leo nataka kuku wa kienyeji, mara mbuzi, mara nisiende kazini anataka tuu tukae nae home, ila hataki kabisa tushiriki tendo la utamu, nimechoka sasa upepo wake umehamia kwenye supu na machungwa, nimechoka imebidi nisafiri nitulize mawazo.
Hivi ni hali au samtime wanafanya maksudi?
Hivi ni hali au samtime wanafanya maksudi?