Mpenzi wako alikuhamasishaje kutafuta PESA?

Mpenzi wako alikuhamasishaje kutafuta PESA?

fungi06

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
740
Reaction score
1,025
Ciao jf

Bila kuchelewesha mada mezani kama swali hapo juu linavyo uliza!

Je mpenzi wako (me.ke) alikuhamasishaje kujengeka au kuimarika kiutaftaji pesa?

Sharing is caring waungwana😎
 
Nilijengwa na wazazi wangu kuwa a strong independent woman. They took me to school and guided me all along so I could take care of myself through the journeys of life.

They taught me to do it for me. And am forever grateful to them.

Manake kulingana na posti za wakulungwa humu, ukiwa tegemezi kwa mwanaume hakuna rangi utaacha kuona.
 
Aliniambia sentensi hii (namnukuu)
"Hujui unachokitafuta", nilijitathimini na nikauona ukweli wa kauli yake, na kuanzia hapo nikadhamiria katika jambo nilifanyalo kujua kwa nini nalifanya, na nini yatakuwa matokeo.
 
Lakini wanawake wana nguvu Sana juu yetu ila wengi wanazitumia vibaya

Nakumbuka nilkuwa mlevi wa kubeti yaani haipiti siku bila kupoteza hela Sasa mama chanja akagundua akaniambia Leo na kesho usibeti hata kwenye simu nitakuelekeza Cha kufanya mwisho wa siku niliacha jumla
kilichosaidia zaidialkuwa karibu saana na Mimi halafu nilkuwa nampenda kwelkweli
 
Majukumu yanahitaji pesa na si maneno,unajikuta unachakarika unavyojua
 
Labda kwa ile mizinga ya kila wakati, LABDA..!!
 
Back
Top Bottom