Ukiistajabu ya MUSA utaona ya Firauni

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,808
1,225
Wakuu habarini zenu?

Nimekuwa nikitafuta maana ya huu msemo sehemu mbalimbali hatimae nikakutana na babu 1 hapa ofisini kwetu akaniambia Firauni alikuwa Mfalme na Moses Kijakazi, siku moja mke wa tajiri na kiongozi mwenye nyadhifa ya juu serikalini alimbaka Moses bila hiyana Moses akakataa lakini yule mama kwa kujihami akamshataki Moses kwa kujaribu kubaka na kumfikisha kwa kiongozi/mfalme Firauni. Yule mama akadai madhara makubwa aliyoyapata ni kupata miscarriage kwani alikuwa na ujauzito.

Firauni baada ya kuelezwa tukio zima akamhukumu Moses kukaa/kuishi na yule mama kwa mwezi mzima au zaidi mpaka apate ujauzito......

Jamani ni kweli au nimedanganywa naomba nijuzwe story behind this famous quote.
 
GY

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,280
1,170
ukistaajabu ya RICHMOND utaona ya DOWANS....au ina maana hii
 
Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,971
1,195
haaaaaaaaaa GY umenifurahisha muhula wa ngapi tena huu wa pili wa kwanza
 
NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,808
1,225

masharubu

Senior Member
May 5, 2010
155
170
Ndivyo hasa jamaa alikataa maamuzi ya musa akaenda kwa firauni akaambiwa kama ulivyosema
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
56,328
2,000
Hii ni kare, ngoja tupekue kurasa, huenda tukapata zaidi.
Hebu pitia kile kitabu cha Kutoka, kwenye Agano la Kale, utaona Musa na Farao (Firauni0 walivyokuwa wakishindana nguvu.
 
NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,808
1,225
Hii ni kare, ngoja tupekue kurasa, huenda tukapata zaidi.
Hebu pitia kile kitabu cha Kutoka, kwenye Agano la Kale, utaona Musa na Farao (Firauni0 walivyokuwa wakishindana nguvu.

poa ngoja asante kwa ushauri
 
Babuyao

JF-Expert Member
Jun 6, 2009
1,733
1,250
Wakuu habarini zenu?

Nimekuwa nikitafuta maana ya huu msemo sehemu mbalimbali hatimae nikakutana na babu 1 hapa ofisini kwetu akaniambia Firauni alikuwa Mfalme na Moses Kijakazi, siku moja mke wa tajiri na kiongozi mwenye nyadhifa ya juu serikalini alimbaka Moses bila hiyana Moses akakataa lakini yule mama kwa kujihami akamshataki Moses kwa kujaribu kubaka na kumfikisha kwa kiongozi/mfalme Firauni. Yule mama akadai madhara makubwa aliyoyapata ni kupata miscarriage kwani alikuwa na ujauzito.

Firauni baada ya kuelezwa tukio zima akamhukumu Moses kukaa/kuishi na yule mama kwa mwezi mzima au zaidi mpaka apate ujauzito......

Jamani ni kweli au nimedanganywa naomba nijuzwe story behind this famous quote.
Hii version yako ni kali kwelikweli. Ninachojua mimi Firauni (farao) na Musa walipambana pale kwenye simulizi la kutaka kuwakomboa Waisraeli kutoka Misri. Musa alipomwambia Firauni kwamba ametumwa na Mungu kuwatoa utumwani waisraeli , Firauni aligangamala. Wakaanza mapambano. Firauni akaleta wachawi wake ili kupambana na Musa. Naye Musa akashusha mapigo 10 kwa Firauni - na la mwisho likiwa la kuuawa kwa wazaliwa wa kwanza. Kwa hiyo "ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni" ina maana kwamba kama jambo lilishawahi kukushangaza ('ya Musa') basi jua yapo makubwa zaidi, tena ya kishetani (maovu) - 'Ya Firauni'. Kumbe ya Firauni huwa daima ni mambo ya kustaajabisha lakini pia yanakuwa ni maovu kupindukia
 
Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,472
1,225
Wakuu habarini zenu?

Nimekuwa nikitafuta maana ya huu msemo sehemu mbalimbali hatimae nikakutana na babu 1 hapa ofisini kwetu akaniambia Firauni alikuwa Mfalme na Moses Kijakazi, siku moja mke wa tajiri na kiongozi mwenye nyadhifa ya juu serikalini alimbaka Moses bila hiyana Moses akakataa lakini yule mama kwa kujihami akamshataki Moses kwa kujaribu kubaka na kumfikisha kwa kiongozi/mfalme Firauni. Yule mama akadai madhara makubwa aliyoyapata ni kupata miscarriage kwani alikuwa na ujauzito.

Firauni baada ya kuelezwa tukio zima akamhukumu Moses kukaa/kuishi na yule mama kwa mwezi mzima au zaidi mpaka apate ujauzito......

Jamani ni kweli au nimedanganywa naomba nijuzwe story behind this famous quote.
Duh....?!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom