Natafuta rafiki wa kike

babilas25

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
471
333
Habari za majukumu,

Naamini nyote mpo salama, natafuta rafiki wa kike mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa kupindukia, Dini Mwislam/mkristo.

Mwenye elimu walau ya secondary, mwenye uelewa wa maisha na mpambanaji, awe mrefu kidogo asiwe mwembamba mwenye muonekano mzuri, umri kuanzia miaka 25 hadi 33

Wasifu wangu, mim ni Mvuvi kitaluma, umri wangu ni 34.
Njoo DM tuyajenge.
 
Ila maisha bana
1. Ulosoma nao hujafanikiwa ata mmoja?
2. Unaosali nao bado hujaona hata mmoja?
3. Unaopanda nao daladala/basi/ndege hujabahatika hata mmoja?
4. Unaoishi nao kijiji/mjini/ofosini etc hujaona hata mmoja
5. Wanaokuja unakovulia samaki/dagaa/perege/kambale hujaona hata mmoja
6. Walokaribu na marafiki zako .......
7. .......................
anyway all the best ...usiache mbachao kwa msala upitao
 
sjakuelewa kipenz..;) hp o kwenye mbachao..
 
Wewe ni mwanamke ama mwanamme? Jieleze vizuri.
Habari za majukumu,

Naamini nyote mpo salama, natafuta rafiki wa kike mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa kupindukia, Dini Mwislam/mkristo.

Mwenye elimu walau ya secondary, mwenye uelewa wa maisha na mpambanaji, awe mrefu kidogo asiwe mwembamba mwenye muonekano mzuri, umri kuanzia miaka 25 hadi 33

Wasifu wangu, mim ni Mvuvi kitaluma, umri wangu ni 34.
Njoo DM tuyajenge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom