Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Poleni na majukumu katika kuanzisha mahusiano na mwanamke yeyote yule awali kabla hata ya mgegedo lazima tukwazane na Mara nyingi vitu vya kipuuzi tu mfano ananiambia Malakipesa njoo,nikimwambia...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwakweli nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga Yani unamtongoza Sasa hivi baada ya dk moja anaaanza kuomba hela ya kula au Kama Ana mtoto (singo maza) itaanza kusikia kesho nampeleka mtoto...
24 Reactions
110 Replies
10K Views
Wasaalam waungwana! Kama kichwa cha habari kinavyo gieleza. Nataka kujua madhara ya kisaikolajia,yatakayao mpata kijana ambaye atafanya mapenzi na wanawake wengi,especial kwa wale ambao hawajaoa...
3 Reactions
26 Replies
10K Views
CHANZO CHA UVUNJIFU WA NDOA NA MUARUBAINI WAKE. Katika mambo yanayowadumbua watafiti mpaka leo hii ni suala la kuvunjika kwa ndoa makundi kwa makundi. Kipindi Cha nyuma enzi za mababu zetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akiwa anatuma meseji badala ya kuandika "sasa" ataandika "xaxa"..., au anataka kuandika "sweet" lakini ataandika "cwry"..., au badala ya kuandika "so much" ataandika "xo much" Masela wenye tabia...
8 Reactions
81 Replies
9K Views
Nawasalimu Asalam aleykum! Kwakweli inasikitisha sana tasnia ya kutongoza imeharibiwa vibaya mno! Vijana wa Sasa utongozaji wao ni wa mwendokasi, yaani ni blah blah tu Maneno machache, "I love...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu, Napenda kuwashukuru wote kwa maoni na mawazo yenu kwa kile nilichokiandka siku za nyuma kidogo. Niliandika; Natafuta mwanamke wa kuoa Niliandika nahitaji mke na kweli...
11 Reactions
103 Replies
8K Views
Katika mahusiano kuna watu huwa wanafikia hatua 1.tiyali wameshatoa mahali 2.tiyali wameshatambulisha kwa wazee 3.tiyali wameshatoa posa Alafu linabakia swala la kufunga ndoa dakika ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana JF Husika na kichwa cha habari hapo juu,, ningependa nieleze japo kwa uchache juu ya historia ya maisha yangu, familia yangu pamoja na hali inayoendelea hv sasa. Mimi in kijana, umri...
9 Reactions
74 Replies
10K Views
Habari za muda jamani Haraka haraka bila kupoteza muda twende kwenye mada ,Kuna haka katabia flani binafsi Kana niboa Sana watu kuhusisha moja kwa moja sababu ya mwanamke kucheat ni kutopata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawasalimu wana Jamvi! Hivi karibuni miaka kama 5/6 nyuma kumetokea wimbi kubwa la wanawake kutafuta wanaume wa kuwaoa. Ukipita kila mahali kwenye social media unaweza shuhudia hilo. Na kwa kiasi...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
MAFUTA YA GARI~20,000 VINYWAJI~12,000 DINNER~20,000 GUEST~25,000 Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu" HII NI HAKI KWELI?
10 Reactions
93 Replies
7K Views
Utakuta kuna dem umezoeana nae mkajikuta mmependana ila hakuna aliyemfungukia mwenzake, siku ikatokea mmekaa sehemu ya faragha kaka gheto mara ghafla mkajikuta mmeanza kukiss hadi kusex, afu...
7 Reactions
115 Replies
10K Views
Wakuu mmebarikiwa Sana na MUNGU WA MBINGUNI. Imepita miaka sasa niliwahi kuishi na mwanamke mmoja muha mwanamke jeuri, matusi, kiburi, uchafu, ujuaji sijampata ona, harakati ndani ya familia...
12 Reactions
43 Replies
6K Views
Habarini za muda huu wanajamii forum pole na majukumu mazito ya ujenzi wa taifa. Iko hivi hizi siku za hv karibuni nimeona mabadiliko makubwa kwa mwandani wangu wa muda mrefu, moja amekuwa mkimya...
17 Reactions
96 Replies
8K Views
Habari za majukumu Nimejitokeza hapa kwenu kwa lengo la kutafuta mchumba then baadae awe mke Sifa zangu: Rangi: mweusi Kimo: mrefu Miaka: 28 elimu: degree Location: mbeya Awe atleast na sifa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukiona mtoto mchanga analialia hovyo bila sababu yoyote ujue huyo anayeitwa baba yake ni feki. Nilishawahi kuambiwa miaka kadhaa iliyopita sikuamini, lakini leo hii nimeamini kuna watoto wanne...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu Kama kichwa cha habari kilivyo eleza hapo juu..... Mke wangu kwao nimitaa kama 20 toka tunapoishi sasa hivi karibuni kwao wamepata matatizo flani hivyo huwenda kuwaona nakushinda kwao hadi...
4 Reactions
59 Replies
6K Views
Tabia ya vijana kuwa katika mahusiano na wanawake walio wazidi umri inazidi kushamiri. Zipo sababu nyingi zinazopelekea mtu kuwa katika mahusiaano kama hayo lkn moja kubwa ni iyo love. Embu...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Back
Top Bottom