Hebu Tuwe Wawazi: Hii Hali ni Ya Kawaida?

guzman_

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,255
2,073
Nawasalimu wana Jamvi!

Hivi karibuni miaka kama 5/6 nyuma kumetokea wimbi kubwa la wanawake kutafuta wanaume wa kuwaoa. Ukipita kila mahali kwenye social media unaweza shuhudia hilo. Na kwa kiasi kikubwa ni single mothers na hata mabinti wadogo waliosingle 20's.

Hii imkaaje! Au ni normal duniani kote.
Nawasilisha.
 
KWELI NDUGU! ILA YOTE HYA NI KUONGEZEKA KWA WANAWAKE WADANGAJI HADI KUPELEKEA WACHACHE WASTAARABU KUONEKANA WALEWALE! KWA HYO INABIDI TU WAENDE MOJA KWAMOJA KWENYE POINT YA KUHTAJ AU KUOMBA KUOLEWA
 
Nijuavyo suala la kuolewa ni mwanaume anaamua aoe au la! Sasa unavo niambia nataka mwanaume wa kunioa ni kama haijakaa sawa. Ni bora aseme boyfriend tu.
 
Nawasalimu wana Jamvi!

Hivi karibuni miaka kama 5/6 nyuma kumetokea wimbi kubwa la wanawake kutafuta wanaume wa kuwaoa. Ukipita kila mahali kwenye social media unaweza shuhudia hilo. Na kwa kiasi kikubwa ni single mothers na hata mabinti wadogo waliosingle 20's.

Hii imkaaje! Au ni normal duniani kote.
Nawasilisha.
Nenda social network za ulaya utashangaa mpaka uchoke. Hii kwa hapa nyumbani sio kawaida Ila kwa huko wenzetu ni kawaida.mana saivi tuna adapt Sana lifestyle yao.huko nje unaokutana na ke anakuambia anazo divorce Kama tano lakinia anachotafuta ni furaha yake tu.
 
Ni bora huyo. Ila huyu anayetafuta mme wa kumuoa ni kama amepitiliza kabisa
 
Back
Top Bottom