Kila nikipata mwanamke mwanzoni lazima tukwaluane

Malakipesa

Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
41
Reaction score
42
Poleni na majukumu katika kuanzisha mahusiano na mwanamke yeyote yule awali kabla hata ya mgegedo lazima tukwazane na Mara nyingi vitu vya kipuuzi tu mfano ananiambia Malakipesa njoo,nikimwambia nipo bize anakwazika Mara oooh tuachane namimi huwa sina hiana namwambia OK poa baada ya wiki anaanza ooh mbona hupigi simu....hivi wanaume wenzangu nanyinyi huwa ni hivi?
 
Waulize wavulana wenzako, wanaume wote wana familia zao.
 
Mkuu kwanza wafunue halafu uanze kutoa kibali cha kuachana. Utakuja kunishukuru baadae.
 
Angalia namna unavyozungumza na mpenzi wako kuanzia lugha uanyotumia na wakati pia, isijekuwa unaongea nae kamavile unaongea na msela mwenzio.

Mfano kuna jamaa ameachana na rafiki yangu kwa sababu ya hii

Rafiki; hello beby unafanya nini?
Jamaa; nachota maji
Rafiki; Ya nini dear
Jamaa; unachekesha wewe, kwani hujui kazi ya maji
Rafiki; nilitaka nijue kama in ya kupikia, kuoga au ya kunywa.
Rafiki; Luna kitu nataka nikwambie
Jamaa; niambie ila staki siasa

Hints ; relationship yao ilikua ndo kwaaanza wanaanza hata hawajalana
Na jamaa katika jamii sio mwongeaji.
 
Hahahaaaa we jamaa unaua sana!!!!! Mara nyingi huwa anataka anione muda wote Mimi namkazia hayo majibu ya msela 100% yapo poa xana wanawake sio wakuwalegezea jiulixe kitu mwamba ukiwa upo nae muda wote pesa utatafta sangapi swali lingine ukiishiwa atakuwa naww? Kwahyo kuwa namwamke kwa kizazi hiki nisawa na mwanajesh akiwa vitani chochote kinatokea kwa sababu yeyote
 
Basi achana na wanawake fanya issues zingine za msingi
 
Angalia namna unavyozungumza na mpenzi wako kuanzia lugha uanyotumia na wakati pia, isijekuwa unaongea nae kamavile unaongea na msela mwenzio.

Mfano kuna jamaa ameachana na rafiki yangu kwa sababu ya hii

Rafiki; hello beby unafanya nini?
Jamaa; nachota maji
Rafiki; Ya nini dear
Jamaa; unachekesha wewe, kwani hujui kazi ya maji
Rafiki; nilitaka nijue kama in ya kupikia, kuoga au ya kunywa.
Rafiki; Luna kitu nataka nikwambie
Jamaa; niambie ila staki siasa

Hints ; relationship yao ilikua ndo kwaaanza wanaanza hata hawajalana
Na jamaa katika jamii sio mwongeaji.
Majibu mujarabu hakuna kosa hapo tena mwamba safi sana.ukiona baby anasema nikwambie kitu unue kifuatacho ni mzinga
 
Back
Top Bottom