Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika hali ya kawaida inaonekana ni vigumu girl kuomba mapigo toka kwa kijana barobaro, lakini hutokea kwa trick flani hivi. Mfano mimi nakumbuka nilikuwaga na mahusiano na mdada mmoja...
18 Reactions
123 Replies
33K Views
Mimi ni kijana amabaye sijaoa mpka sasahivi ninakaribia 28+ lakini vijana wenzangu katika rika hili wameshao. Kilichonifanya niseme wanawake wana baraka ni maendeleo ya vijana wenzangu walioyapata...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu, leo hali ya hewa hapa DSM imekaa murua kiasi, kale ka joto ka chini chini hakaleti tabu sana. Nadhani sababu ya mvua iliyo nyesha juzi kati. Aisee!!, Jana mapema tu huyu Dada...
9 Reactions
98 Replies
9K Views
Wanapost elimu bandia kwenye mitandao ya kijamii; kujifanya wanawashauri Wanawake wenzao kuwaheshimu na kuwavumilia wanaume/ waume zao. Wanaweza kuwasilisha kwa njia ya maandishi au video fupi...
13 Reactions
28 Replies
3K Views
Simu ni moja ya kifaa cha msingi katika maisha yetu ya kila siku, ndiyo inatuunganisha kirahisi pale tunapokuwa hatupo katika uwepo wa wale tunaotakiwa kuwasiliana nao. Zaidi ya kuweza kuendesha...
33 Reactions
66 Replies
14K Views
ILANI: Huu ni mwendelezo na sehemu ya pili ya makala za Simu za mikononi katika Mahusiano ikiwa sehemu ya pili. Unaweza kusoma sehemu ya kwanza hapa...
13 Reactions
52 Replies
18K Views
Kwanza kabisa tambua watu waliopo mitandaoni ndio hao hao mnaokutana mitaani, vyuoni, kwenye nyumba za ibada, maeneo ya starehe, kazini, ufukweni. Lakini zingatia haya yafuatayo sababu maeneo yote...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa miaka 31, Engineer by professional,mrefu wa futi 6 kasoro nchi 1,body la kiume na very humble. Nahitaji mwanamke wa kuoa,sifa kubwa zaidi hasiwe na gubu,awe msafi na mwonekano...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Aisee Nina rafiki yangu zaidi ya ndugu yaani tumeshibana hasa hasa hakuna Jambo linaweza tokea la kutugombanisha tushindwe kutatua. Huyu...
8 Reactions
59 Replies
8K Views
Mwaka jana tulikuwa kikazi mkoa flani katikati ya pori. Mimi na wenzangu kadhaa. Tulikuwa tumeenda na tents na vyakula, maji na mahitaji yote muhimu maana tulikaa kwa muda wa week 6. Huyu dada...
33 Reactions
62 Replies
8K Views
Naomba ufafanuzi wadau, msilete mambo yenu ya kukosoa bila mpangilio. Uwa inachukua dakika ngapi mwanaume kuwa tayari kusex kwa awamu nyingine?
5 Reactions
127 Replies
87K Views
Happy women's day!!! Mama zangu na dada zangu wote wa jamii forum nawapenda sanaaaaaaa!!!! I love you all!!!!
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Daaah sisemi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jf bhana!
0 Reactions
3 Replies
954 Views
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Wakuu mwaka Fulani ndo nimetoka Tu kwenye majanga ya kugombana na mwanamke niliyekuwa nikiishi Naye na kuzaa Naye mpaka kumuweka ndani Kwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Huyu binti nime chunguza trend ya matukio yake ya kuleta zawadi, nimegundua kwamba kila aletapo zawadi, bado siku chache zijazo lazima atapiga kizinga,.. Sasa ndugu zanguni mademu,..huu kwel ni...
2 Reactions
53 Replies
3K Views
Nashangaa kitanda nacholalia iweje mke wangu ulale na dada yako, na wakati kuna chumba kingine, ati kisa mimi sipo? Nashangaa bafu la chumbani wadogo zako wanalitumia na wakati unajua ni la...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Nawasalim, Moyo unasononeka sijapata wakunifariji, ila naamini humu kuna watu wana mioyo ya upendo. Nawakaribisha sana. Natamani siku moja nipate mwanamke atakae nipenda mimi kama mimi nikiwa na...
3 Reactions
67 Replies
11K Views
Habari wana JF, Natumaini mu wazima wa afya , leo ni weekend hope mko poa na wengi wenu ni mapumziko leo. Moja kwa moja kama uzi hapo juu unavyojieleza . Binafsi kama kijana, nimekutana na...
4 Reactions
39 Replies
6K Views
Hi gentlemen! Siku moja huku nampiga demu mmoja hivi aliyejaaliwa utamu nilipigwa kirungu( niliombwa nitoe ahadi yoyote) kipindi ambacho kichwa cha juu kimeishiwa nguvu dhidi ya kichwa cha chini...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wanawake wana jeuri na dharau sana ..wana maneno ya shombo hata shetan anasubiri sanaa...kuna jamaa hapa pot kamtwanga mkewe hadi kadead juz hapa dar... Mwanamke jeuri sana ..pot wa watu kaamua...
18 Reactions
194 Replies
12K Views
Back
Top Bottom