Tunguja
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 450
- 327
Ukiona mtoto mchanga analialia hovyo bila sababu yoyote ujue huyo anayeitwa baba yake ni feki.
Nilishawahi kuambiwa miaka kadhaa iliyopita sikuamini, lakini leo hii nimeamini kuna watoto wanne ninaofahamu ambao walikuwa wanalia sana halafu baadaye ikaja kugundulika walichakachuliwa.
Kwahiyo hii hali ikitokea kwa mtoto wako fanya uchunguzi, Inaweza ikawa ni matatizo mengine au hili ambalo nimelitaja hapo juu, tuwe makini sana tuvae condom tunapochepuka ili kuepukana na changamoto Kama hizi pamoja na maradhi, tunawatesa viumbe wasiokuwa na hatia kwasababu ya starehe zetu za sekunde 10.