Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,124
- 2,472
Habari za muda jamani
Haraka haraka bila kupoteza muda twende kwenye mada ,Kuna haka katabia flani binafsi Kana niboa Sana watu kuhusisha moja kwa moja sababu ya mwanamke kucheat ni kutopata huduma nzuri kitandani .
Yaani ikitokea kesi ya mwanamke kucheat karbu 80% ya watoa comment watasema ohh jamaa hajui kusugua vizuri.....yaani hii imekuwa ndio Kinga ya mwanamke wengi kujitete wakicheat na wanasahau sababu Kama
-umalaya tu wa mwanamke mwenyewe jitu lilikuwa for sale huko way back
-chai tambi au maji mara moja
-Kuna wale ambao hawana msimsmo ukimsumbua siku mbili anakubless
Mwisho wa povu